Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Hao watu kama akina Mpina acha wafanyiziwe tu, kwasehemu kubwa ni wafaidika wa hizo hujuma za ccm, hata nikisikia wanafanyiziana naona poa tu. Sikuwahi kumsikia Mpina akipigania haki zaidi ya kufaidika na huo uhayawani wa ccm.
 

Kamati Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge imewasilisha bungeni taarifa ya kamati hiyo kuhusu tuhuma za Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, jijini Dodoma leo Juni 24, 2024

wabunge wanapata muda wa kujadili adhabu ya kumpa mbunge mwenzao!!😂😂😂😂😂😂
Tanzania eenh!Nchi yangu!
Anyway this is how great people are made!Wanamjenga Mpina bila kujua aisee!Bunge hilihili lilimpa adhabu Zitto na wengine kwenye ukweli😅!Hawa watu huwa hawarejei maamuzi yao ya nyuma ama!?
 
Unafiki gani, umethibitishwaje, je hoja zake zimejibiwa? Mtuhumiwa kajitetea? Iweje ahukumiwe?
Mtuhumiwa anaitwa na kamati inamsikiliza halafu yenyewe inaona haina adhabu ya kumpa inaliambia bunge lenyewe ndio litoe adhabu,bunge ambalo mtuhumiwa hajajitetea kwalo!😂
Bunge hilo ndilo bunge linalotunga sheria!😂😂😂
 
Back
Top Bottom