Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Waziri Mkuu wa nyumbani kwako labda. Hapo sawa
Jambo unalotakiwa kulijua, ni Kusoma mwelekeo mpya wa Siasa za Dunia.

Dunia Sasa inaingia kwenye kipindi Cha NATIONALISM .

Hivo tetea Wezi, Mafisadi Kwa nguvu zako zote, ila NYAKATI ZAJA AMBAZO, MTALIA NA KUSAGA MENO.

Kama ambavyo hakuna aliyedhania JPM Atajua kua Rais, ndivo ambavyo Nyakati hizo hizo zitakuja.

Furahini Kwa kuwaumiza Wazalendo wa TAIFA hili.
 
baada ya kuadhibiwa inavyostahili na bunge kwa mujibu wa kanuni za bunge, na baadae adhabu kali sana ya ccm,

naungana na hoja muhimu na ya maana sana, aliyoitoa kaka yangu ninae muheshimu sana comrade Dr.Kasheku Msukuma mbunge wa jimbo la Geita, kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vianzishe uchunguzi zaidi wa kina, kuona kama kuna wahusika wengine zaidi juu ya uzushi na uongo wa tuhuma hizi, alizobuni Mh.Mpina dhidi ya waandamizi wa serikali hususani Mh.Husen Bashe, waziri wa kilimo... :pulpTRAVOLTA:

hadi anaona aibu,
muongo na mzushi yupo mwenyewe tu :pedroP:
 
Waziri Mkuu wa nyumbani kwako labda. Hapo sawa
Ewe chawa hivi unafaidika nini na hii awamu ya mafisadi? au unapiga debe tu!.

Kamati yenu ya maigizo inajibu hoja za Mpina kama watoto wa darasa la nne!.
 
Maamuzi yapo mikononi

FB_IMG_17186935862077137.jpg
 
Hiki kilichofanyika ni cha kawaida, ni wachache sana wanaoweza kuona kwamba kuna inshu kuuuuubwa imefanywa na Bunge.
Yako mambo mengi sana ambayo tulitaraji bunge liyafanyie maamuzi magumu lkn hawakufanya.
Mpina ni wa nyumbani (ccm) ameadhibiwa na wana familia (ccm wenzake) so, hiyo siyo inshu hata kidogo.

So, wameacha kuchambua kwa umakini taarifa aliyoileta mpina, wakajikita kwenye makosa ya mpina kwa bunge, yaani ni mbaya sana kutuaminisha kwamba katika yote aliyoyasema mpina hakuna lililo sahihi.
 
Mlopokaji huyo
Bado ana hangover ya Mungu mtu wake Kayafa
2025 hatumrudishi bungeni mbuzi huyu
 
Hiki kilichofanyika ni cha kawaida, ni wachache sana wanaoweza kuona kwamba kuna inshu kuuuuubwa imefanywa na Bunge.
Yako mambo mengi sana ambayo tulitaraji bunge liyafanyie maamuzi magumu lkn hawakufanya.
Mpina ni wa nyumbani (ccm) ameadhibiwa na wana familia (ccm wenzake) so, hiyo siyo inshu hata kidogo.

So, wameacha kuchambua kwa umakini taarifa aliyoileta mpina, wakajikita kwenye makosa ya mpina kwa bunge, yaani ni mbaya sana kutuaminisha kwamba katika yote aliyoyasema mpina hakuna lililo sahihi.
Samia anaomba kupinduliwa kwa nguvu
 
Back
Top Bottom