Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I am more capable of doing other things too, not only laughing dear! Ila una point ambayo sitapinga. Tanzania sisi wananchi hatuna tofauti na maiti in terms of fightings for our rights and supporting those who fightings for us!Lazima ucheke hicho ndio mnacho weza, ndio maana tangu mwanzo nilisema mpina anafanya kosa sana kutetea maiti za Taifa hili. kosa kubwa sana
Acha afungiwe tu maana hakuna bunge hapo bali kusanyiko la majizi. Akafanye kazi nyingine kuliko kupoteza muda kwenye hilo bunge rubber stamp.Amefungiwa vikao kumi (10) vya Bunge.
Vikao Siyo mikutano ? 🐼Kwa hiyo ndiyo basi tena hatarudi mjengoni?
Maana mwaka kesho ni uchaguzi wa Rais na wabunge!
Migomo ndiyo demokrasia. Watu wanapata namna ya kufikisha grievances zao huko. Na Serikali inapata mrejesho kuhusu sera zake. Hizi siyo zama za dikteta wa Chato ambaye alikuwa hataki hata mikutano ya vyama vya upinzani.Awamu ya kutetea mafisadi haina mwisho mwema, tayari nchi inanuka migomo kila kona
Nyie watu mlikuwa BRAINWASHED vibaya sana na Mwendazake. Yaani bado unaamini Magufuli atafufuka na kuja kuanza kutuua kwa risasi na kunyang'anya mali zetu tena?Jambo unalotakiwa kulijua, ni Kusoma mwelekeo mpya wa Siasa za Dunia.
Dunia Sasa inaingia kwenye kipindi Cha NATIONALISM...
Nafaidika sana. Kwa ufupi demokrasia ya vyama, uhuru wa maoni, usalama wa raia, usalama wa fedha zangu benki.Ewe chawa hivi unafaidika nini na hii awamu ya mafisadi? au unapiga debe tu!.
Kamati yenu ya maigizo inajibu hoja za Mpina kama watoto wa darasa la nne!.
Yeah, SanaKumbe Mpina alifanya vizuri kusambaza hii taarifa Ili Kila mwenye akili aisome...Aise nyie watu mmekiabisha chama, mmeaibisha nchi Mungu awahukumu sawa sawa na uovu wenu
Etwege zamani nilidhani wewe Ni chawa, kumbe Ni MTU na akili zake.Awamu ya kutetea mafisadi.
Kusambaza habari ni swala la hatari zaidi kwa watanzania kuliko kuuwa viwanda vya ndani na kulisha watu sukari isiyopitia TBS?
Niambie Awamu ambayo CCM ilikuwa haina Mafisiadi.Awamu ya kutetea mafisadi.
Well saidHao watu kama akina Mpina acha wafanyiziwe tu, kwasehemu kubwa ni wafaidika wa hizo hujuma za ccm, hata nikisikia wanafanyiziana naona poa tu. Sikuwahi kumsikia Mpina akipigania haki zaidi ya kufaidika na huo uhayawani wa ccm.
Sisi watanganyika sio bure kuna kitu hakipo sawaAseee nchi ngumu saana hii, yaani anayepambania wananchi anasulubiwa! Aseeeee!
Hivi tume haiwezi kupindisha ukweli?Wajinga mpo wengi sana, huyo Musukuma zile za DPW ziliisha au bado anaendelea kuzitumia?
Hiyo kamati haijajibu hoja yoyote ya Mpina, imejibu utoto mtupu. Badala iundwe kamati ya kuchunguza ufiasadi wa Bashe na mama Abdul, wajinga wanamuundia kamati Mpina!.
Huyo Musukuma atakuwa ameshapangwa awe wa kwanza kuongea baada kuvuta mpunga wake, mfano takataka zilizojaa bungeni.
Angekuwa wakati wa Magufuli angeambiwa anasambaza Covid.Kuvaa Mask maana yake ,kuzibwa Mdomo asiongee.
Kuvaa Miwani maana yake, Hupaswi kua kipofu .
Watu wenyewe unaowashauri wasiungie huo mtego, muda mrefu tu wamekuwa wakiungojea huo mfupa umshinde fisi ili wazame nao.Hayo ni Maigizo ya CCM wakikaribia uchaguzi. Kumtoa mtu wao kafara ili awe mgombea wa urais wa upinzani halafu baada ya uchaguzi anarudi ccm.
Chadema, Act msiingie kwenye huo mtego. 2025 Tundu lissu achukue fomu ya urais.
Ohoo!Msiingie mtego, mtapigwa za uso 🤣
ajabu na kweli!Bashe kachomoka??