Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Huyo Mpina sio mpigania haki, uhuni wa aina hiyo wamekuwa wakifanyiwa sana wapinzani na hakuwahi kuonyesho kuchukizwa na tabia ile. Kwasasa apambane na wahuni wenzake kwenye hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura.
 
Kumbe Mpina alifanya vizuri kusambaza hii taarifa Ili Kila mwenye akili aisome...Aise nyie watu mmekiabisha chama, mmeaibisha nchi Mungu awahukumu sawa sawa na uovu wenu
 
Lazima ucheke hicho ndio mnacho weza, ndio maana tangu mwanzo nilisema mpina anafanya kosa sana kutetea maiti za Taifa hili. kosa kubwa sana
I am more capable of doing other things too, not only laughing dear! Ila una point ambayo sitapinga. Tanzania sisi wananchi hatuna tofauti na maiti in terms of fightings for our rights and supporting those who fightings for us!
 
Hivi kwani kuzaliwa tz ni kosa sometime unaweza kufuru kuna machizi yaan unakuta jitu somi linaazibu alie toa habari kwamba tunaibiwa harafu jambazi anasifiwa alifanyaaa maamuzi sahihi mamaaaeee zao
 
Watanganyika tunataka nchi yetu tumechoka na huu ujinga
 
Awamu ya kutetea mafisadi haina mwisho mwema, tayari nchi inanuka migomo kila kona
Migomo ndiyo demokrasia. Watu wanapata namna ya kufikisha grievances zao huko. Na Serikali inapata mrejesho kuhusu sera zake. Hizi siyo zama za dikteta wa Chato ambaye alikuwa hataki hata mikutano ya vyama vya upinzani.

Mitano tena kwa Samia
 
Jambo unalotakiwa kulijua, ni Kusoma mwelekeo mpya wa Siasa za Dunia.

Dunia Sasa inaingia kwenye kipindi Cha NATIONALISM...
Nyie watu mlikuwa BRAINWASHED vibaya sana na Mwendazake. Yaani bado unaamini Magufuli atafufuka na kuja kuanza kutuua kwa risasi na kunyang'anya mali zetu tena?
 
Ewe chawa hivi unafaidika nini na hii awamu ya mafisadi? au unapiga debe tu!.

Kamati yenu ya maigizo inajibu hoja za Mpina kama watoto wa darasa la nne!.
Nafaidika sana. Kwa ufupi demokrasia ya vyama, uhuru wa maoni, usalama wa raia, usalama wa fedha zangu benki.

Era ya ubabe, uuaji, utekaji, unyang'anyi wa fedha tuliizika Chato na Magufuli mwenyewe mwaka 2021.
 
Kumbe Mpina alifanya vizuri kusambaza hii taarifa Ili Kila mwenye akili aisome...Aise nyie watu mmekiabisha chama, mmeaibisha nchi Mungu awahukumu sawa sawa na uovu wenu
Yeah, Sana

Jinai haifi damage done kwa Bashe will never go away
 
Awamu ya kutetea mafisadi.

Kusambaza habari ni swala la hatari zaidi kwa watanzania kuliko kuuwa viwanda vya ndani na kulisha watu sukari isiyopitia TBS?
Etwege zamani nilidhani wewe Ni chawa, kumbe Ni MTU na akili zake.
✔️
 
Hao watu kama akina Mpina acha wafanyiziwe tu, kwasehemu kubwa ni wafaidika wa hizo hujuma za ccm, hata nikisikia wanafanyiziana naona poa tu. Sikuwahi kumsikia Mpina akipigania haki zaidi ya kufaidika na huo uhayawani wa ccm.
Well said
 
Walisema upinzani ndo tatizo, wamebaki wenyewe watoto wa mama mmoja, wanaanza kusulubiana wao kwa wao. Mpina ana wajua wenzake ndo maana alivujisha zile nyaraka mapema kwa kujua hili litatokea
 
Wajinga mpo wengi sana, huyo Musukuma zile za DPW ziliisha au bado anaendelea kuzitumia?

Hiyo kamati haijajibu hoja yoyote ya Mpina, imejibu utoto mtupu. Badala iundwe kamati ya kuchunguza ufiasadi wa Bashe na mama Abdul, wajinga wanamuundia kamati Mpina!.

Huyo Musukuma atakuwa ameshapangwa awe wa kwanza kuongea baada kuvuta mpunga wake, mfano takataka zilizojaa bungeni.
Hivi tume haiwezi kupindisha ukweli?
 
Hayo ni Maigizo ya CCM wakikaribia uchaguzi. Kumtoa mtu wao kafara ili awe mgombea wa urais wa upinzani halafu baada ya uchaguzi anarudi ccm.

Chadema, Act msiingie kwenye huo mtego. 2025 Tundu lissu achukue fomu ya urais.

Ohoo!Msiingie mtego, mtapigwa za uso 🤣
Watu wenyewe unaowashauri wasiungie huo mtego, muda mrefu tu wamekuwa wakiungojea huo mfupa umshinde fisi ili wazame nao.

^Lowassa mwenyewe tu anatembea na wapiga-kura zaidi ya milioni 6. Hatuwezi kumwacha!^ (kwa sauti ya Tundu Lissu).
 
Back
Top Bottom