Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Kama ni mtihani basi paper imefanyiwa kazi na lile wazo lakumpisha mwana haram apite uwenda limefanikiwa kwa asilimia 200.

Ila sasa kazi ni mbichi sana 😒 wanaujuwa ukweli ila kwa sababu ya jamuhuri wee lazima uiokoe jamuhuri.
Kijana amewashitua kumbe alikuwa anajuwa siri ya mchezo jambo Zuri ila siunajuwa huwezi toa siri za home baba anapigwa na mama lazima ule bonge la bao mpaka wali ukutoke puani.

Ila wageni wakiondoka utaombwa msamaha kiaina na mzee. Mpaka mama anaye mpiga baba ataungana na baba kukusimanga Huna adabu yaani unatoa siri za nyumbani tabia mbaya kwanza ukome anglia mambo ya wazazi Soma.

Wazo like jumba jeupe fanya mabadiliko.... nje ya hapo watoto wa kambo watazurura kutuchafuwa.

Mwanangu hongera najuwa umefanya kaz nzuri ila natengua kidogo siasa hii baba sawa.... Ishallah.

Taarifa toka kurugenz ya Habari Ikulu........ panga pangua kuna mtu itamuuma mweeeeee yeye hatopata taarifa hapo 😜 J2**4
 
Shame on the bunge! Mpina kaongelea ufisadi wa Bashe, badala achunguzwe, msema kweli anahukumiwa! Bunge la ovyo sana hili!
 
Kwakweli nimeumia sana natamani ningekuwa na uwezo wa kuwaadhibu wote waliohusika kutekeleza hili jambo.

Hiyo nguvu iliyotumika ingekutumika kutatua kero za hili taifa basi hakika nasi tungekua miongoni mwa nchi bora kabisa hapa duniani.

Ngozi nyeusi ni nyeusi tu, umaskini ni mbaya sana, masikini akionja asali hakika hawezi kutamani tena kula shubiri.
 
Wanampa uwaziri awe anahojiwa yeye badala ya kuhoji ,inaishia hapo
 
Nangoja kuona Samia itatumiwa gear ipi Hadi asigombee 2025.

Nina uhakika 100% hagombei ila sijajua itafanywafanywaje Hadi asiwe mgombea. Kwa drama hizi za Mpina (waziri mstaafu) naona 2025 inachelewa.
 
Shame on you as well. Kwa hivyo ushahidi wa Mpina kwa Bashe ni uongo?
 
Hakika umetupigania sana sisi Watanzania. Wewe ni Mbunge wa Taifa. Umelipigania Taifa kwa uwezo wako wote bila kujali nini kitakupata. Maana, kuwa Mzalendo katika Nchi hii ni lazima ujitoe sadaka kweli kweli kama alivyojitoa sadaka Mwamba JPM.

Hongera sana mh. Mpina kwa sadaka hii.

Sisi huku nje tulijua tu kwamba lazima watukufukuza Bungeni na watamtetea uliyemtuhumu.

Sadaka huwa haipotei bali huwa ni kama mbegu iliyopandwa ambapo mwishowe itaota na kuzaa matunda mema.

Hongera sana SHUJAA, Mpina.
 

Hapo wanampa adhabu mbunge husika au wananchi anaowawakilisha?
 
Anataka agombee urais kupitia chadema, ndio sharti la kujiunga huko, Lissu anasema atagombea yeye, hicho ndio kikwazo pekee
 
baada ya kubuni uongo na uzushi, kana kwamba ni kweli na kuufanya kama tuhuma dhidi ya waziri kijana wa kilimo, mchapakazi hodari na anaeaminika sana, Hussein Bashe, na kujaribu kuwahadaa wananchi na kutaka kulidanganya bunge..

Mbunge huyo mzushi, atawajibika kutokukanyaga kabisa eneo la bunge katika muda usiopungua vikao15, hiyo maana yake atakanyaga tu, tana kwa bahati sana vikao vya bunge la November 2024.

Je,
CCM itavumilia Kuishi na mtu muongo na mzushi kama huyu?

au ni suala la muda tu tutapata taarifa ya Tume Huru Ya Uchaguzi ikiliarifu bunge hatua za CCM dhidi ya mbunge wake huyo muongo πŸ’

uzushi, uongo, kiburi na jeuri vyamtokea puani, aweka ubunge wake rehani na uko mashakani kumponyoka πŸ’
 
Wewe andika uzushi wako hao maccm hilo jimbo linakwenda kwa upinzani.ninachojua Luhaga atakwenda upinzani na jimbo linaenda upinzani.ni swala la muda tu tusubiri hiyo drama
 
taarifa ya "Tume Huru Ya Uchaguzi"! Ukome kabisa kuiita tume huru ya uchaguzi, tume ni ileile ya Magufuli ila mmejaribu kuisilimisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…