Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Kwanini hawakuamuwa apelekwe na Mirembe akapimwe afya ya akili?
 
Kipindi cha Magufuli Mpina alikua waziri mambo mengi ya hovyo yalitendeka alikaa kimya, je angekua waziri na sasa angeyasema haya anayoyasema?

INAFIKIRISHA SANA...
 
Ila tuseme tu tuna bunge la hovyo.
Kuna mmoja anaitwa Somebody Ditopile Mzuzuri, yeye alianza kabisa kumuita spika "kipenzi chetu" 🤣🤣🤣🤣
Kama Taifa kazi tunayo kwa kweli.
 
Mh Mpina alijua hilo ndiyo maana akazungumza na Wapiga kura wake kupitia Waandishi wa Habari.

Godbless Lema aliwahi kuwaambia Bungeni kuwa "wakishatumaliza sisi wataanza kuwashughulikia nyie" .
 
Nilifanya tafiti zangu nikaconclude Africa will never modernize, Africa will never develop, itakuwa na viashiria tu vya maendeleo ila si maendeleo yenyewe ambayo ukifika Europe unayaona, moja ya sababu kubaki maskini daima ni ofisi kubwa na nyeti kuongozwa na wanawake, tena vilaza wanaofanya maamuzi mabovu ambayo siku wakitoka madarakani tunawazodoa, tukumbuke kuwa na madigirii ya mlimani sio kuwa na akili za kazini.

Yaani mbunge anasema ukweli badala ya kumsapoti tunamkalisha chini na kumtenga. Hii inaonesha tulivyo jaa ujinga na kubaki nyuma , hii ina maana pia wabunge dizaini ya Mpina wote watapigwa mawe pia!! Ujinga wetu aliosema Nyerere , sio wa kutokujua kusoma na kuandika, hata katika kuelewa na kuamua mambo muhimu ya maslahi ya nchi.
 
Hivyo vikao alivyofungiwa ndio sawa na sh. ngapi?
Yaani adhabu ya kumzuia kwenda kazini sio?
 
Wewe tangu wakati ule wa DPW ulivyoamua kukaa kimya nilikuondoa kwenye faili langu la wapinzani walio na uchungu wa kupigania rasilimali za hili taifa.

Una chembe chembe za udini, ufisadi, na mihemko ya kitoto, unashangilia Mpina kutorudi bungeni unadhani wakati anajilipua hakujua kama hilo linaweza kumpata?!

Unasema tumeumbuka?! Tumeumbuliwa na hiyo kamati ya Spika Tulia iliyookoteza majibu ili kujibu tuhuma za Mpina? Kumbe hauna akili kabisa.

- Sheria iliyotumika ndio ikawafanya watumie kampuni isiyo na ujuzi wa kuagiza sukari? hapo usalama wa mlaji ulizingatiwa? mtaji wa 1 million wa stationery unaweza kuagiza sukari ya bilion 6.6? hiyo kama sio rushwa ni kitu gani kingine kwa akili yako mbovu!

Unaimba sheria kufuatwa, huoni hapo walitumia sheria ili kutoa deals kwa kampuni za watu wao ili watupige?

Shame on you, na njaa zako za kuwaza ubunge, matokeo ya mindset ya kipuuzi inayowafanya baadae mkae kimya hata rasilimali za taifa zikiibwa.

■Mpina is above you in every aspect, he is mentally free not like you, hopeless uliyetawaliwa na njaa mpaka kwenye ubongo.
 
Kwani wewe mtaani kwako sukari bei gani? Isijeikawa mwenzetu unaamka na kuzimua wanzuki huku unataka kujadili suala la sukari?
 
Mtu kama mleta mada ni wa kupiga risasi tu, watu wa namna hii wanachangia sana kurudisha nchi nyuma...typical ccm traits.
ERoni Ukifunguliwa ban, utanikuta nipo pale Kimara Baruti. Usije na risasi, njoo tupambane ana kwa ana
 
Kwani Leseni ta stationery ikipewa kibali cha kuagiza sukari na ikaleta sukari, kuna ISSUE gani?

Luhaga Mpina hana point ni wakala wa matajiri wahodhi sukari tu. Sisi tunataka sukari iwepo kwa bei rahisi bila kujali imekujajaje. Hata wewe denoo JG mwenye leseni ya kusuka nywele ukileta sukari tunanunua. Bashe shikilia hapo hapo mpaka hawa sukuma gang wa mwendazake wanyooke
 
Acha afungiwe tu maana hakuna bunge hapo bali kusanyiko la majizi. Akafanye kazi nyingine kuliko kupoteza muda kwenye hilo bunge rubber stamp.
Dogo kama hauna hauna tu, hata ukiongea kwa hasira vipi haindoi ukweli!
 
Chawa huna akili siku zote, kwanini hiyo leseni msiwape wenye experience ya uagizaji sukari unaenda kuwapa wa stationery?

Issue zipo nyingi tu; mtaji waliutoa wapi?

Unaziacha kampuni zenye mitaji kufanya hiyo kazi, unaenda kumpa mwenye mtaji wa 1million, mafisadi msio na akili.

Kwanini mkagoma kukutana na viongozi wa viwanda vya kuzalisha sukari waliokuwa tayari kuagiza sukari? mkawakwepa mpaka wakataka kuonana na Samia wasijue Samia mwenyewe nae ni mwizi vile vile!.
 
Shame on you as well. Kwa hivyo ushahidi wa Mpina kwa Bashe ni uongo?
MKuu njaa hakika ni mbaya sana. Hii platform imeanza kuwa na watu waajabu sana.

Tulikua tukisikia enzi hizo kuwa ni home of great thinkers sasa imekua home of fools with empty stomach.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…