Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

M13 tax free pamoja na posho kedekede siyo bure.
 
Acha upoyoyo,mzee Mbowe aweke nyaraka za kuthibitisha alichoropoka ,vinginevyo anakaribia kuingia kwenye kundi la lema na mdude
Wewe weka uthibitisho wa nyaraka kuwa mbunge wako hajaongezewa mshahara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…