johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wabunge wameitaka Serikali kutofumbia macho ubadhirifu wa fedha uliofanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii ukiwatumia baadhi ya wasanii wa hapa nchini.
Wakijadili ripoti ya CAG wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Nachingwea wamesema ifike wakati Serikali iwathibitishie wananchi kuwa ni kweli inapambana na rushwa kwa kuwashughulikia Mawaziri wezi waliotuibia mchana kweupe kila mtu akiona.
Chanzo: ITV habari!