Bunge lataka Serikali imchukulie hatua Dkt. Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha alizowagawia wasanii

Bunge lataka Serikali imchukulie hatua Dkt. Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha alizowagawia wasanii

Hapa hakuna lolote, huu ni wivu tuu dhidi ya mafanikio ya Dr. Kigwa!.
P
Una uhakika hakuna lolote? Kwa taarifa yako Hamisi katika ile kampeni ya unforgettable tanzania iliyomleta yule msanii wa kinaijeria wiz kid alitumia zaidi ya 1 bilion Tsh.kuandaa ule upuuzi na vipeperushi.wakaguzi naona wameshtukia huo ubadhirifu.
 
Wabunge wameitaka serikali kutofumbia macho ubadhirifu wa fedha uliofanywa na wizara ya maliasili na utalii ukiwatumia baadhi ya wasanii wa hapa nchini.

Wakijadili ripoti ya CAG wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Nachingwea wamesema ifike wakati serikali iwathibitishie wananchi kuwa ni kweli inapambana na rushwa kwa kuwashughulikia mawaziri wezi waliotuibia mchana kweupe kila mtu akiona.

Source ITV habari!
Oneday nilisema humu kuwa sasa kuna wapiga dili wapya, hivyo madili yanaendelea kupigwa kama kawaida.
Nani alijua ya akina kangi hadi siku wanatumbuliwa?

Lakini mngejaribu kusema kabla hawajatumbuliwa, kuna baadhi ya jf members wangewakingia kifua na kuwaita majembe kama wanavyomwita sasa kigwa. Akitumbuliwa utawasikia pia wakibadilisha wimbo.
 
Wabunge wameitaka serikali kutofumbia macho ubadhirifu wa fedha uliofanywa na wizara ya maliasili na utalii ukiwatumia baadhi ya wasanii wa hapa nchini.

Wakijadili ripoti ya CAG wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Nachingwea wamesema ifike wakati serikali iwathibitishie wananchi kuwa ni kweli inapambana na rushwa kwa kuwashughulikia mawaziri wezi waliotuibia mchana kweupe kila mtu akiona.

Source ITV habari!

Hilo bunge kibogoyo nani atalisikiliza? Wao waendelee tu kuwakomoa wapinzani maana ndio wanachoweza. Hakuna mtu anaweza kusikiliza bunge kibogoyo.
 
Mbona hii ya kulipa wasanii kigogo2014 hana tarifa nayo ?
 
JAMANI MABEBERU NJOONI HUKU BONGO NCHI INALIWA NA GENGE LA CCM AU WANYAMULENGE TAFADHALI KUJENI MTUSAIDIE
 
Ndugai hajawepo wakati hiyo hoja ikipitishwa.

Kigwa huyu aliyetuchongea sanamu la babu yake kuwa ni nyerere.
 
Comrade Hamis Kigwangala chapa kazi,hizi siasa za midomoni zisikubabaishe.Wabunge wengine wanadhani bado tuko kwenye zama za mawe za kale.Serikali haiwezi kuyumbishwa KAMWE na watu wenye INTERESTS zao.
 
Back
Top Bottom