Bunge lataka Serikali imchukulie hatua Dkt. Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha alizowagawia wasanii

Bunge lataka Serikali imchukulie hatua Dkt. Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha alizowagawia wasanii

Hapa hakuna lolote, huu ni wivu tuu dhidi ya mafanikio ya Dr. Kigwa!.
P
Una maanisha 'the end justifies the means' (Machiavellian approach to a problem)? Mimi nadhani kama kuna ubadhilifu ushughulikiwe sambamba na kutambua mafanikio yaliyopatikana kwenye hiyo sekta. Pamoja na kwamba baadhi ya wachangiaji wanasema 'siasa ni mchezo mchafu', nilijifunza 'political philosophy' na ninapenda siasa na hata ilipokuwa bado inafundishwa shuleni kama somo la siasa nilikuwa nafaulu vizuri (hasa kwa kujifunza basics of political science). Ila ni kweli kwamba nachukia 'siasa' ambayo ni 'mchezo mchafu'. Kwenye 'political philosophy' niliwasoma wanafalsafa wengi sana, including 'African philosophers' ambao baadhi ya wanafalsafa hawawaiti 'pihilosophers', bali 'African reactionaries against colonialism' kwa maana kwamba wanafalsafa wanajadili na kushawishi mifumo ya kufikiri na kujenga maisha katika jamii, wakati wapinga ukoloni wanaonyesha hisia zao dhidi ya ukoloni au ukoloni mambo leo na namna ya kuupinga au kukabiliana nao katika jamii.
 
Alafu jamaa kanajiamini sana sijui kwa sababu ipi
Una uhakika hakuna lolote? Kwa taarifa yako Hamisi katika ile kampeni ya unforgettable tanzania iliyomleta yule msanii wa kinaijeria wiz kid alitumia zaidi ya 1 bilion Tsh.kuandaa ule upuuzi na vipeperushi.wakaguzi naona wameshtukia huo ubadhirifu.
 
Hao ni mataga wa lumumba
Oneday nilisema humu kuwa sasa kuna wapiga dili wapya, hivyo madili yanaendelea kupigwa kama kawaida.
Nani alijua ya akina kangi hadi siku wanatumbuliwa?

Lakini mngejaribu kusema kabla hawajatumbuliwa, kuna baadhi ya jf members wangewakingia kifua na kuwaita majembe kama wanavyomwita sasa kigwa. Akitumbuliwa utawasikia pia wakibadilisha wimbo.
 
Unforgettable tanzania ichunguzwe.mabilioni ya walipa Kodi yameingia kwenye ile kampuni yake pale Airtel moroco.
 
Hadi leo sijasikia tamko lolote juu ya lugola
Hilo bunge kibogoyo nani atalisikiliza? Wao waendelee tu kuwakomoa wapinzani maana ndio wanachoweza. Hakuna mtu anaweza kusikiliza bunge kibogoyo.
 
Kuna vile v-speaker vya machinga na wasajili line huwa vina kelele humu Jf sijui Mbowe nini bil 8 yeye vp bunge halijamua cho chote?
 
Hiyo ID ina kuhukumu
Comrade Hamis Kigwangala chapa kazi,hizi siasa za midomoni zisikubabaishe.Wabunge wengine wanadhani bado tuko kwenye zama za mawe za kale.Serikali haiwezi kuyumbishwa KAMWE na watu wenye INTERESTS zao.
 
Wabunge wa Thithiem bwana leo nimeona wanamtolea Mimacho mwenzao eti kwanini alitumia Bil.1.5 bila idhini ya bunge na wakaenda mbali zaidi ya kutaka achukuliwe hatua. Kitu nilichojifunza leo ni kwamba hakuna "connection' kati ya Wabunge wengi wa Thithiem na Boss wao pengine kungekuwa na connection wasingelipoteza mda wao kumpigia kelele Mwenzao. Hivi Pamoja na kieleele walichonacho Mawaziri wa sasa cha kujipendekeza kwa Jiwe hivi kuna Waziri anaweza kuthubutu katumia pesa kipuuzi vile kwa akina steve nyerere bila mkono wa Bashite?wakati Mfuko anaumiliki Mjomba?. Ila Wabunge wa Lumumba acheni unafiki watu wamechukua Mabilioni bila ridhaa yenu wakanunua mandege na kujenga kiwanja cha ndege hukoo.... hakuna hata mmoja wenu '"aliyetokwa" na msuli wa shingo vipi leo hivi viela vya mboga ndio mvishupalie?
Nimekuelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom