Bunge lataka Serikali imchukulie hatua Dkt. Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha alizowagawia wasanii

Mi mwenyewe ile kitu ilikuwa inanipa ukakasi sana tena hao tunao ambiwa ni ambasadors eti ni kina manara sijui Steve nyerere hawa wana impact gani sasa na utalii bora diamond platnumz huyu ni brand na anatutangaza Pia nje vizuri sana sikuona sababu ya kuokoteza wasanii wa ndani
 
Manara wa Simba?!
 
Wabunge wameitaka serikali kutofumbia macho ubadhirifu wa fedha uliofanywa na wizara ya maliasili na utalii ukiwatumia baadhi ya wasanii wa hapa nchini.

Wakijadili ripoti ya CAG wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Nachingwea wamesema ifike wakati serikali iwathibitishie wananchi kuwa ni kweli inapambana na rushwa kwa kuwashughulikia mawaziri wezi waliotuibia mchana kweupe kila mtu akiona.

Source ITV habari!
Wabunge wa Thithiem bwana leo nimeona wanamtolea Mimacho mwenzao eti kwanini alitumia Bil.1.5 bila idhini ya bunge na wakaenda mbali zaidi ya kutaka achukuliwe hatua. Kitu nilichojifunza leo ni kwamba hakuna "connection' kati ya Wabunge wengi wa Thithiem na Boss wao pengine kungekuwa na connection wasingelipoteza mda wao kumpigia kelele Mwenzao. Hivi Pamoja na kieleele walichonacho Mawaziri wa sasa cha kujipendekeza kwa Jiwe hivi kuna Waziri anaweza kuthubutu katumia pesa kipuuzi vile kwa akina steve nyerere bila mkono wa Bashite?wakati Mfuko anaumiliki Mjomba?. Ila Wabunge wa Lumumba acheni unafiki watu wamechukua Mabilioni bila ridhaa yenu wakanunua mandege na kujenga kiwanja cha ndege hukoo.... hakuna hata mmoja wenu '"aliyetokwa" na msuli wa shingo vipi leo hivi viela vya mboga ndio mvishupalie?
 
Wabunge wameitaka serikali kutofumbia macho ubadhirifu wa fedha uliofanywa na wizara ya maliasili na utalii ukiwatumia baadhi ya wasanii wa hapa nchini.

Wakijadili ripoti ya CAG wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Nachingwea wamesema ifike wakati serikali iwathibitishie wananchi kuwa ni kweli inapambana na rushwa kwa kuwashughulikia mawaziri wezi waliotuibia mchana kweupe kila mtu akiona.

Source ITV habari!
Utasikia kesho katumbuliwa
 
Hili lingewezekana tu kama huyo kigangwala na hao wasanii wangekuwa upande wa pili, lakini maadamu tu huyo na hao wote ndo wanaoipambania/wanaotumiwa na ccm kwenye kampeni za uchaguzi, basi hiyo hatua itasuasua au hisichukuliwe kabisa.
 
Angekuwa wakutumbuliwa angeshatumbuliwa, huyo hatoki hapo,na hao wapiga kelele wasishangae miongoni mwao wapo watakaopotezwa kwenye kura za maoni.
 
Hapa hakuna lolote, huu ni wivu tuu dhidi ya mafanikio ya Dr. Kigwa!.
P

[emoji848]mkuu, na wewe ulikwenda kukwea mlima ukakwamia marangu kama steve ama...?
Zitatokea popote palipo na tundu kama na wewe, ...!
 
Mbona mfalme wa mataga alipo pora Tl.1.5 akuwajibishwa why mataga kingwangala
 
Hapa hakuna lolote, huu ni wivu tuu dhidi ya mafanikio ya Dr. Kigwa!.
P

Sawa ni wivu
Ila kweli kaka ndio kumtumia stive nyerere na shilole kukuza utalii kweli jaman?

Hao watu wana kazi gani mpya?
Au page zao zina follwers wangapi?

Je mtu wa Madagasca anaweza kuja serengeti kwa ushawishi wa stive ?
 
Back
Top Bottom