johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mafanikio yapi?Hapa hakuna lolote, huu ni wivu tuu dhidi ya mafanikio ya Dr. Kigwa!.
P
Mafanikio makubwa ya uhamasishaji utalii!.Mafanikio yapi?
Na watalii wameshaanza kuja kwa maelfu!Mafanikio makubwa ya uhamasishaji utalii!.
P
Naunga mkono hoja. Dr Kigwa ni jembeHapa hakuna lolote, huu ni wivu tuu dhidi ya mafanikio ya Dr. Kigwa!.
P
Namuona Kigwangala akizimia bungeniWabunge wameitaka serikali kutofumbia macho ubadhirifu wa fedha uliofanywa na wizara ya maliasili na utalii ukiwatumia baadhi ya wasanii wa hapa nchini.
Wakijadili ripoti ya CAG wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Nachingwea wamesema ifike wakati serikali iwathibitishie wananchi kuwa ni kweli inapambana na rushwa kwa kuwashughulikia mawaziri wezi waliotuibia mchana kweupe kila mtu akiona.
Source ITV habari!
DuuuuuuHapa hakuna lolote, huu ni wivu tuu dhidi ya mafanikio ya Dr. Kigwa!.
P
Na watalii wameshaanza kuja kwa maelfu!
Nani atamfunga paka kengeleHapa hakuna lolote, huu ni wivu tuu dhidi ya mafanikio ya Dr. Kigwa!.
P
Naunga mkono hoja. Dr Kigwa ni jembe
Kigwangalla ni kijukuu cha mtume SAW!Namuona Kigwangala akizimia bungeni
Naona utendaji bora wa kigwa na kuwa moja ya waziri wenye wafuasi wengi mitandaoni ndio kisa
Kuna vibunge hata havijulikani na viko bungeni tangu 2000
Ni kweliHapa hakuna lolote, huu ni wivu tuu dhidi ya mafanikio ya Dr. Kigwa!.
P
Pascal punguza kuwafanya wenzako mandunyaMafanikio makubwa ya uhamasishaji utalii!.
P
Hapa hakuna lolote, huu ni wivu tuu dhidi ya mafanikio ya Dr. Kigwa!.
P
Yangeleta tija CAG asingemchoma!Kama katumia fedha nyingi katika kuhamasisha utalii na matokeo ya uhamasishaji yakaleta tija kongole kwake.