Bunge lataka Serikali imchukulie hatua Dkt. Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha alizowagawia wasanii

Hapa hakuna lolote, huu ni wivu tuu dhidi ya mafanikio ya Dr. Kigwa!.
P
Una maanisha 'the end justifies the means' (Machiavellian approach to a problem)? Mimi nadhani kama kuna ubadhilifu ushughulikiwe sambamba na kutambua mafanikio yaliyopatikana kwenye hiyo sekta. Pamoja na kwamba baadhi ya wachangiaji wanasema 'siasa ni mchezo mchafu', nilijifunza 'political philosophy' na ninapenda siasa na hata ilipokuwa bado inafundishwa shuleni kama somo la siasa nilikuwa nafaulu vizuri (hasa kwa kujifunza basics of political science). Ila ni kweli kwamba nachukia 'siasa' ambayo ni 'mchezo mchafu'. Kwenye 'political philosophy' niliwasoma wanafalsafa wengi sana, including 'African philosophers' ambao baadhi ya wanafalsafa hawawaiti 'pihilosophers', bali 'African reactionaries against colonialism' kwa maana kwamba wanafalsafa wanajadili na kushawishi mifumo ya kufikiri na kujenga maisha katika jamii, wakati wapinga ukoloni wanaonyesha hisia zao dhidi ya ukoloni au ukoloni mambo leo na namna ya kuupinga au kukabiliana nao katika jamii.
 
Alafu jamaa kanajiamini sana sijui kwa sababu ipi
Una uhakika hakuna lolote? Kwa taarifa yako Hamisi katika ile kampeni ya unforgettable tanzania iliyomleta yule msanii wa kinaijeria wiz kid alitumia zaidi ya 1 bilion Tsh.kuandaa ule upuuzi na vipeperushi.wakaguzi naona wameshtukia huo ubadhirifu.
 
Hao ni mataga wa lumumba
 
Unforgettable tanzania ichunguzwe.mabilioni ya walipa Kodi yameingia kwenye ile kampuni yake pale Airtel moroco.
 
Hadi leo sijasikia tamko lolote juu ya lugola
Hilo bunge kibogoyo nani atalisikiliza? Wao waendelee tu kuwakomoa wapinzani maana ndio wanachoweza. Hakuna mtu anaweza kusikiliza bunge kibogoyo.
 
Kuna vile v-speaker vya machinga na wasajili line huwa vina kelele humu Jf sijui Mbowe nini bil 8 yeye vp bunge halijamua cho chote?
 
Hiyo ID ina kuhukumu
Comrade Hamis Kigwangala chapa kazi,hizi siasa za midomoni zisikubabaishe.Wabunge wengine wanadhani bado tuko kwenye zama za mawe za kale.Serikali haiwezi kuyumbishwa KAMWE na watu wenye INTERESTS zao.
 
Nimekuelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…