Bunge lataka Watumiaji wa Daraja Tanzanite (Selander) Walipie

Kichekesho cha aina yake. Kuna option B ya kutokupita hilo daraja. Nyie wabunge acheni kujigomba kwa mama na kuwasahau wananchi, Anyway hatukuwachagua ndiyo maana hamna habari na sisi.
 
Wabunge Hawa vichwa vyao vitupu

Hilo daraja umoja wa mabalozi wa nje walikutana kujadili kuwa wanachelewa kuwahi ofisini kwao sababu ya pale daraja lililojengwa na serikali la selander kuwa dogo foleni kubwa wakakubaliana watafute pesa walijenge pale liwasaidie

Balozi wa Korea kusini ambaye ndie mwenyekiti wa mabalozi wa nje nchini akasema nchi yao itajenga

Sasa wabunge wanatakaje? Mabalozi na familia zao zichajiwe kupita Hilo daraja au? Waswahili wengi hawapiti upande ule wanaopita sehemu kubwa ni mabalozi na maofisa ubalozi na familia zao

Hilo daraja haikuwa proposal ya Raisi yeyote wa Tanzania si Nyerere si Mwinyi si Kikwete Wala Magufuli Wala Samia
 
Bunge la watu wasiojitambua badala ya kupambana tozo ziondolewe kwenye daraja la Nyerere wao wanataka hilo nalo lilipiwe kwa kipi hasa
 
Walipie tu kwani watu wa masaki wanahela nyingi sana sio sawa na sisi wa uswahilini.
Wakati wamejenga kwa hela zao walipie vipi daraja limehengwa kwa hela za wakazi wa masaki mabalozi wa nchi za nje walioko nchini sio hela za serikali
 
kuwe na utofauti, daraja la kigamboni lilijengwa na Taasisi ya Serikali kama mradi wa uwekezaji kwa taasisi hiyo (NSSF joint venture) na fedha +faida ilitakiwa irudi, Daraja la Tanzanite linajengwa na serikali kuu kwa mkopo wa Korean fund pamoja na mchango wa serikali, ambapo serikali itawajibika kulipa kama madeni mengine. ni kama miradi mingi mingine ya serikali. mfumo wa PPP ndio mahususi kuchangia (Toll) kama ambavyo chalinze expressway ingejengwa.
 
Uwongo serikali haijatoa hata shilingi Mia kujenga lile daraja
 
Halijajengwa kwa mkopo uongo
 
Lilipiwe tena kivipi wakati imetumika Kodi ya yetu bila kujalisha mwenye gari, pikipiki, baiskeli au mwenda kwa miguu.
Hata mie cjaelewa,hotuba zilisema kuwa ni hela zetu za ndani,au nilisikia vibaya
 
Wabunge wetu wanapaswa kutofautisha kesi moja na nyingine, waangalie mazingira ya haya madaraja mawili, vinginevyo wanaweza kukuta hilo daraja la Tanzanite linaota ukungu kwa kutotumika

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hilo daraja halina manufaa yoyote kwa nchi na mji wa Dar. Ni mradi wa kiduanzi sana.
 
100% ✅
 
Korea wametoa mkopo. Hawajengi bure. Mradi wa ajabu na aibu kabisa.
 

Umaskini. Nothing more.
 

Ni wazo jema. India hapo juzi kati wali monetize all major public infrastructure kwa kuwapa private sector waziendeshe, halafu zile proceeds zinazopatikana zinasaidia ku maintain the existing roads na kujenga mpya.
 
Korea wametoa mkopo. Hawajengi bure. Mradi wa ajabu na aibu kabisa.
What mkopo? Wa mabilioni ili kupitisha tu mabalozi wachache na familia zao na vifisadi vichache vikina Zitto kabwe vinavyokaa masaki no Please.Give me a break are you sure? Kama kweli Raisi asiende kufungua atume hata mtendaji wa serikali ya mtaa akafanye huo ufunguzi.

Huo utakuwa wizi tu wa kuiba pesa kupitia makandarasi.Hakukuwa na haja ya Hilo daraja kabisa
 
Wakati wamejenga kwa hela zao walipie vipi daraja limehengwa kwa hela za wakazi wa masaki mabalozi wa nchi za nje walioko nchini sio hela za serikali

Usipotoshe, hilo daraja siyo la mabalozi. Ni la waTanzania. Hakuna ubalonzi hata mmoja ulio changa pesa kwa ajili ya daraja hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…