Bunge lataka Watumiaji wa Daraja Tanzanite (Selander) Walipie

Kwa taarifa yako hili daraja limekuwa proposed kipindi cha JK na kusaini hiyo grant kutoka South Korea. Acheni kudanganyika kuwa kila kizuri kilifanywa na Magufuli kama alivyokuwa ANAWAONGOPEA
Sasa hasira zako za nini,hili daraja limekuwa designed na Mfugale na likawakilishwa na Waziri Magufuli na likaanza ujenzi wakati wa Magufuli,na litalipwa na watanzania
 
Acha uongo wewe
 
Lilipiwe tena kivipi wakati imetumika Kodi ya yetu bila kujalisha mwenye gari, pikipiki, baiskeli au mwenda kwa miguu.
Uelewa ndio shida…wanataka kuiga tu mambo ya toll roads/ bridges bila kuangalia wanaofanya hivyo financiers wa ujenzi huwa ni nani?!
 
We ni mfu nini mbona umekomaa na marehemu.?
Na siwezi kumpumzisha maana kuna wajinga wengi kama wewe sheiza walikuwa brainwashed vibaya.

Kazi yetu ni kuweka mambo wazi mpaka yule shetani asahaulike
 
Unalipia,na Kuna Mpaka private roads za kulipia Hong Kong watu binafsi wamejenga lakini wenzetu hawana VAT ndio maana kuna Road Tolls sasa sisi kodi zetu zinafanya kazi gani
Ni vizuri lakini kwanini ulipie njia?
 
Watapita mabalozi na wafanyabiashara pekee tulipe kodi zetu zile ......hakuna tozo bana......
Na ndiyo lengo lao kuwapunguza Makabwela kwenye hilo daraja ili wenye Nchi wapite kwa rahaa musitarehee!!
 
Naunga mkono hoja hata njia ya kwenda kibaha inabidi kuwe na malipo ili kurudisha gharama za mkopo.
 

Hapa nimekuelewa mkuu
 
2025 siyo mbali, haya maneno ni ya marafiki zangu wamachinga!
 
Rudisheni ada katika shule maana hata Madarasa yanajengwa na fedha za mikopo
 
Waongo, majambazi wakubwa.

Waweke mgambo wa IMF na benki ya dunia wakusanye hizo tozo kurudisha hela yao basi.

Wanafikiria vyanzo vya kujilipa maposho tu.

Kila kinachojengwa kwa mkopo huwa tunalipishwa deni hapo hapo kwenye matumizi ya mradi?

Heartless people. Cold blooded, unpatriotic leeches.
 
Waliwahi kutangaza kwa mwaka wanakusanya kiasi gani?

 
Lengo la daraja ni kupunguza foleni. Waweke ushuru waone foleni mpya. Pale flow ya magari huwezi linganisha na Kigamboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…