Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Comments reservedHayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Poverty of mindKuna mtu atadai bwawa liitwe Yanga.
Huo ni uchochezi ndugu😅Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Punguza ujuaji, wemwenyewe jinalako ni lamarehem.Unayajua madhara ya kurithi majina ya marehemu?
Cheti feki!.Watu mnaomtukuza huyo mungu wenu, kuna wakati huwa ninawachukulia kama vichaa tu.
Mkuu vitabu vyote vya Mungu vimekataza kutumia majina ya mizimuPunguza ujuaji, wemwenyewe jinalako ni lamarehem.
Nonsense!.Magufuli- the axis of evil:
-Aliasisi 'wasiojulikana', maiti zikawa zinaokotwa kwenye fukwe, kukawa na utekaji/watu kupotea ovyo.
-Kwa mara ya kwanza baada ya uhuru baadhi ya watanzania wakawa wakimbizi wa kisiasa.
-Kwa mara ya kwanza mbunge (aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa magufuli) akapigwa risasi ktk makazi rasmi ya viongozi wakuu wa serikali. Alizuia uchunguzi wa tulip hilo usifanywe.
-Aliharibu uhusiano na mataifa mengine - eg kuchoma vifaranga toka Kenya. (hapa pia alidhihirisha ukatili wake).
-Aliwalinda viongozi watenda maovu- ref: sabaya,makonda etc.
-Alidumaza demokrasia, uhuru wa habari na wa mtu binafsi.
-etc etc.
Nonsense😎!Magufuli- the axis of evil:

Majinayako yote matatu niyawatu waliokufa, tuanzie hapo alafu ujenahilo katazo la kurithi majina ya wafu.Mkuu vitabu vyote vya Mungu vimekataza kutumia majina ya mizimu
Usichangie jambo kama hujatafakari kwa kina au kama huna uwezo wa hoja maana unajiaibisha.Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Kwa taarifa CHATO AIRPORT imebadilishwa jina inaitwa GEITA AIRPORT.Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Mawazo ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu. Zile ni kodi za Watanzania, kwa nini tuite jina la Marehemu Dikteta aliyeacha kumbukumbu za kumwaga damu na kukandamiza demokrasia?Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Bado hujasema.Cheti feki!.
Magufuli- the axis of evil:
-Aliasisi 'wasiojulikana', maiti zikawa zinaokotwa kwenye fukwe, kukawa na utekaji/watu kupotea ovyo.
-Kwa mara ya kwanza baada ya uhuru baadhi ya watanzania wakawa wakimbizi wa kisiasa.
-Kwa mara ya kwanza mbunge (aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa magufuli) akapigwa risasi ktk makazi rasmi ya viongozi wakuu wa serikali. Alizuia uchunguzi wa tulip hilo usifanywe.
-Aliharibu uhusiano na mataifa mengine - eg kuchoma vifaranga toka Kenya. (hapa pia alidhihirisha ukatili wake).
-Aliwalinda viongozi watenda maovu- ref: sabaya,makonda etc.
-Alidumaza demokrasia, uhuru wa habari na wa mtu binafsi.
-etc etc.
Hata wewe piaMoyoni mwako na kwa wenzako, sio mioyoni mwa kila Mtanzania
Misemo ya vyeti feki hii.Bado hujasema.