Bunge liazimie Bwawa la JNHPP libadiilishwe jina liitwe Magufuli hydro project power. Marais wote walishindwa aliweza JPM pekee

Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.

Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.

Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.

Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.

Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Comments reserved
 
Huo ni uchochezi ndugu😅
 
Magufuli- the axis of evil:
-Aliasisi 'wasiojulikana', maiti zikawa zinaokotwa kwenye fukwe, kukawa na utekaji/watu kupotea ovyo.
-Kwa mara ya kwanza baada ya uhuru baadhi ya watanzania wakawa wakimbizi wa kisiasa.
-Kwa mara ya kwanza mbunge (aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa magufuli) akapigwa risasi ktk makazi rasmi ya viongozi wakuu wa serikali. Alizuia uchunguzi wa tulip hilo usifanywe.
-Aliharibu uhusiano na mataifa mengine - eg kuchoma vifaranga toka Kenya. (hapa pia alidhihirisha ukatili wake).
-Aliwalinda viongozi watenda maovu- ref: sabaya,makonda etc.
-Alidumaza demokrasia, uhuru wa habari na wa mtu binafsi.
-etc etc.
Nonsense!.
 
Nonsense😎!
 
Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.

Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.

Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.

Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.

Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Usichangie jambo kama hujatafakari kwa kina au kama huna uwezo wa hoja maana unajiaibisha.

Hivi wewe ulisoma historia japo ya primary school kweli?

Wengi tunakubali kuwa Bwawa la Rufiji ni kazi ya Magufuli na bila yeye pengine lisingejengwa ka.mwe; lakini hiyo siyo sababu ya kufanya uone marais wengine hawajafanya kitu.

Huyo Nyerere unayemkashifu ndiye aliyeleta uhuru huu ambao babu yako aliogopa kushiriki harakati za kuudai. Nyerere alipokea nchi imiwa haina chuo kikuu, madaktari viwanda. Nyerere akajenga vyuo vikuu , taasisi za elimu ya juu viwanda mama kqdhaa reli ya tazara barabara na madaraja , akatoa elimu bure kuanzia msingi mpaka university na posho kwa wanafunzi wa vyuo na kuwalipia nauli za kwenda na kurudi shuleni na vyuoni, yote hayo aliyafanya bila kuchimba madini alitegemea kuuza mazao tu madini akasema ngoja kwanza watanganyika wasome waje wasimamie vizuri. Pia Nyerere ndiye alijenga mabwawa ga kufua umeme ya Kidatu, mtera
Hale, nyumba ya mungu. Pia Kihansi

Pia marais wengine waliofuatab kuna mambo mengi walifanya japo kosa lao kubwa ni kuruhusu na kusimika ufisadi Tanganyika.

Nb: marais hawawezi kuwa na vipaumbele vya aina moja.
 
Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.

Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.

Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.

Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.

Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Kwa taarifa CHATO AIRPORT imebadilishwa jina inaitwa GEITA AIRPORT.
 
Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.

Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.

Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.

Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.

Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Mawazo ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu. Zile ni kodi za Watanzania, kwa nini tuite jina la Marehemu Dikteta aliyeacha kumbukumbu za kumwaga damu na kukandamiza demokrasia?

Natamani hata pale wanapiita Mfugale flyover tupaite Tazara flyover na pale Kijazi tupaite Ubungo flyover. Hii mijina inahusika ba uhujumu uchumi wetu
 
Magufuli- the axis of evil:
-Aliasisi 'wasiojulikana', maiti zikawa zinaokotwa kwenye fukwe, kukawa na utekaji/watu kupotea ovyo.
-Kwa mara ya kwanza baada ya uhuru baadhi ya watanzania wakawa wakimbizi wa kisiasa.
-Kwa mara ya kwanza mbunge (aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa magufuli) akapigwa risasi ktk makazi rasmi ya viongozi wakuu wa serikali. Alizuia uchunguzi wa tulip hilo usifanywe.
-Aliharibu uhusiano na mataifa mengine - eg kuchoma vifaranga toka Kenya. (hapa pia alidhihirisha ukatili wake).
-Aliwalinda viongozi watenda maovu- ref: sabaya,makonda etc.
-Alidumaza demokrasia, uhuru wa habari na wa mtu binafsi.
-etc etc.

Nenda kawashe umeme sasa, kapande SGR, au ndege za ATCL
 
Back
Top Bottom