Bunge liazimie Bwawa la JNHPP libadiilishwe jina liitwe Magufuli hydro project power. Marais wote walishindwa aliweza JPM pekee

Kwa hiyo yeye mwenyewe Magufuli aliyeamua paitwe Julius alikuwa hana akili sio? Watu wengine bana hii nchi ina mambo mengi sana ya kujadili ili tutatue ugumu wa maisha halafu anatokea mtu ana akili inawaza kubadili majina ya projects tu na anaona ndio ana mchango wake kwa taifa hili.
 
Ni mtu mjinga anayeweza kusema kusema alikufa kizembe hakuna kufa kizembe. Siku yako ikifika unaondoka chap tu.Sema uzuri aliondoka kwa sala.aliwatesa wenye vyefi feki,mafisadi na wanasiasa uchwara alitumwa kurekebisha nchi kutoka kwa watu wa ovyo na bado mwingine atakuja tena.
 
Kwanini wewe usibadilishe jina uitwe magufuli. Usipende kudandia majina ya wanaume wenzako
 
Election 2020? Bado una machungu?
Uzuri alilipwa sawasaw na matendo yake. Kaiba uchaguzi hakumaliza hata miezi mitatu akafa kwa aibu. Jitu Kinga Sana, linaharibu uchaguzi likitegemea kuonglza milele kumbe linakufa kesho yake. Very stupid
 
Naunga hoja
Hii Hata NYERERE MWENYEWE alinyoosha mikono
Acha upotoshaji, Nyerere ndio mwasisi wa RUBADA mradi uliopelekea kujengwa Hilo bwawa. Kumbuka ramani ya Hilo bwawa ilichorwa 1970s. Mwanzilishi ni Nyerere ndio maana kapewa jina la bwawa.
 
Kweli kabisa.
 
Wajinga wenye vyeti feki na mafisadi na wala Rushwa Rais mwenye akili lazima awatese tu.
Kubalini huyo Iddi Amin wenu alikuwa katili, msijifiche kwenye vyeti feli wakati yeye mwwnyewe alighushi PhD.
 
Bro wewe nakukumbuka ndie ulikua unapigania Kikokotoo kipya cha 33%
Una roho mbaya nadhani ukoo wako wote hakuna mtu alie wahi kuwa Daktari, Nurse, Muhasibu, Engineer zaidi ya Wachawi..
Tumwache Mama bado unaupiga mwingi!!!
Amejitahidi sana!!!
 
Watu mnamkubali Nyerere kama Aliwaolea mabikra vile kumbe hamna kitu pale. Alitumia akili gani kuziunganisha Tanganyika na Zanzibar afu ikaitwa Tanzania ilihali kila sehemu kuna rais wake mwenye mamlaka yake na mipaka yake
Wewe mwenye akili nyingi umefanya Nini zaidi ya kujificha JF na ID ya uongo. Unadhani kuanzisha muungano ni kazi ndogo?. Punguza dharau kwa vitu usivyovijua na kuviweza.
 
Watu mnamkubali Nyerere kama Aliwaolea mabikra vile kumbe hamna kitu pale. Alitumia akili gani kuziunganisha Tanganyika na Zanzibar afu ikaitwa Tanzania ilihali kila sehemu kuna rais wake mwenye mamlaka yake na mipaka yake
Wewe mwenye akili nyingi umefanya Nini zaidi ya kujificha JF na ID ya uongo. Unadhani kuanzisha muungano ni kazi ndogo?. Punguza dharau kwa vitu usivyovijua na kuvi
 
Samia ametoa Freedom of speech & Assembly
1. Watu wanaongea mpaka kuvuka mipaka
2. Wapinzani wamekua huru hata sasa hivi wapo huko vijijini
3. Report za Fedha za Mkaguzi Mkuu wa Serikali ( CAG) zipo wazi .. watu wanakosoa
4. Miradi ya kimkakati mfano Bwawa la Umeme, SGR imefikia 90%
5. Wafadhili wamerudisha imani yao.. uchumi katika sekta binafsi umechangsmshwa zikiwemo NGOs
6. Social services ikiwemo elimu, Afya, Maji zimeendelea kuimarishwa hasa maeneo ya Vijijini..
7. Angalia Ajila zilizotolewa kwa kipindi kifupi hasa sekta za Afya na Elimu
 
Lol kile ni kifo cha kizembe kabisa!
Kafa kifala mno..
 
Pumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…