Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Kwa hiyo yeye mwenyewe Magufuli aliyeamua paitwe Julius alikuwa hana akili sio? Watu wengine bana hii nchi ina mambo mengi sana ya kujadili ili tutatue ugumu wa maisha halafu anatokea mtu ana akili inawaza kubadili majina ya projects tu na anaona ndio ana mchango wake kwa taifa hili.Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167