Moyoni mwako na kwa wenzako, sio mioyoni mwa kila MtanzaniaMagufuli hata asipo andikwa ataendelea kuzungumza mioyoni mwenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moyoni mwako na kwa wenzako, sio mioyoni mwa kila MtanzaniaMagufuli hata asipo andikwa ataendelea kuzungumza mioyoni mwenu.
Watanzania wote tunamkumbukaMoyoni mwako na kwa wenzako, sio mioyoni mwa kila Mtanzania
Watanganyika hatutaki majina ya viongozi kwenye miradi tunachohitaji ni tija na ufanisi wa miradi hiyo sawa sawa na malengo yake.Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Weee ni nnyaa!Magufuli- the axis of evil:
-Aliasisi 'wasiojulikana', maiti zikawa zinaokotwa kwenye fukwe, kukawa na utekaji/watu kupotea ovyo.
-Kwa mara ya kwanza baada ya uhuru baadhi ya watanzania wakawa wakimbizi wa kisiasa.
-Kwa mara ya kwanza mbunge (aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa magufuli) akapigwa risasi ktk makazi rasmi ya viongozi wakuu wa serikali. Alizuia uchunguzi wa tulip hilo usifanywe.
-Aliharibu uhusiano na mataifa mengine - eg kuchoma vifaranga toka Kenya. (hapa pia alidhihirisha ukatili wake).
-Aliwalinda viongozi watenda maovu- ref: sabaya,makonda etc.
-Alidumaza demokrasia, uhuru wa habari na wa mtu binafsi.
-etc etc.
Hauko sawasawa mkuu, jitahidi kujitafakariWatanzania wote tunamkumbuka
Haitaondoa hata nukta ya uovu wake.Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Election 2020? Bado una machungu?Haitaondoa hata nukta ya uovu wake.
Hapana, bado ninafuraha.Election 2020? Bado una machungu?
Kwani hilo jina la sasa sio la marehemu?Unayajua madhara ya kurithi majina ya marehemu?
Achana na unafiki.Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Magufuli mwenyewe ndiye alipendekeza jina hilo wewe ni nani kupingana na marehemu?Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Nyie wahamiaji haramu ndiyo mnamkumbukaWatanzania wote tunamkumbuka
Kwani hilo jina la sasa sio la marehemu?
Naunga hojaHayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Nani alikuambia kuwa niliwahi kuwa nazo!Huna akili