Bunge liitishe kikao cha dharura kujadili kufungwa kwa ubalozi wa Denmark 2024

Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Posts
15,692
Reaction score
23,038
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.

Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mwaka 1963 miaka miwili baada ya nchi yetu kupata uhuru wake mwaka 1961.

Kupitia mfuko wake wa maendeleo ujulikanao kwa jina la DANIDA Denmark imekuwa mdau mkubwa ambae amekuwa akitoa fedha za maendeleo kwenye maeneo kama haki za binadamu, ukuzaji demokrasia, utawala bora, utulivu na usalama, vita dhidi ya ugaidi, misaada ya wakimbizi na mazingira.

Pia DANIDA imekuwa ikisaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi.

Kupitia mfuko wake wa Danida Fellowship Centre nchi hiyo imekuwa ikifadhili shahada za uzimivu katika masuala mbalimbali kwa baadhi ya wanafunzi kutoka Tanzania na nchi zingine zinazoendelea.

Habari za kufungwa kwa ubalozi wake Denmark ni za kustua kwa wengi kwani zinagusa kila anehusika moja kwa moja na misaada yake kwa nchi zinazoendelea na pia wale wanohusika moja kwa moja na usimamizi wa mfuko huo kwa Tanzania, maofisa ubalozi ambao wengi wamezoea nchi yetu na hata kuzungumza kiswahili sanifu na pia watumishi wa kitanzania ambao wamekuwa wakifanya kazi ubalozi hapo.

Sababu kubwa ya Denmark kufunga ubalozi wake imesemwa kuwa ni kutaka kupata muda wa kujipanga upya na kutengeneza upya mikakati yake ya sera ya nje na mwelekeo wa mkakati mpya wa dunia au "New Global Stretegy".

Lakini pia ni suali la kuuliza je kwanini Denmark ije na uamuzi huo sasa?, je wamegundua kitu gani? na je, wataendelea kutoa msaada kwa Tanzania baada ya 2024?

Au je, wameona tunatumbua tena fedha zao ambazo kuna kipindi zilikuwa zikitumika ipasavyo?

Haya ni masuali ambayo yanapaswa kujibiwa na waziri mhusika wa mambo ya nje balozi Mulamula na maelezo hata ya alert tu kuwa Denmark kufunga ubalozi wao ulodumu nchini Tanzania tangu mwaka 1963.

Lakini cha msingi kwa sasa ningependa kushauri kwamba hili ni jambo la dharura, kuwa mdau wetu mkubwa wa maendeleo Denmark anafunga ubalozi wake ifikapo 2024.

Hivyo Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingechukua hatua za kuitisha kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa Denmark na kwamba ni hatua zipi zitafuatwa kujaribu kutafuta kama Denmark inaweza kubadili msimamo wake huko mbele wa kuisaidia Tanzania kupitia njia zingine.

Waziri wa mambo ya nje anapaswa kutoa taarifa rasmi ya serikali bungeni kuelezea uamuzi huo wa Denmark.
 
Labda wameona juhudi zote wanazozifanya ni kama wanapiga ngoma kwenye maji. We fikria wanapoteza kiasi kikubwa kwenye suala la elimu kwa lengo la kuelimisha jamii ili wapatikane viongozi bora, nchi iwe na deokrasia bora,wasiwepo viongozi wala rushwa,wapatikane wataalamu wazuri wa kupaisha uchumi wa nchi lakini imekuwa kinyume.
 
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.

Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mara tu nchi yetu ilipopata uhuru wake mwaka 1963.

Kupitia mfuko wake wa maendeleo ujulikanao kwa jina la DANIDA Denmark imekuwa mdau mkubwa ambae amekuwa akitoa fedha za maendeleo kwenye maeneo kama haki za binadamu, ukuzaji demokrasia, utawala bora, utulivu na usalama, vita dhidi ya ugaidi, misaada ya wakimbizi na mazingira.

Pia DANIDA imekuwa ikisaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi.

Kupitia mfuko wake wa Danida Fellowship Centre nchi hiyo imekuwa ikifadhili shahada za uzimivu katika masuala mbalimbali kwa baadhi ya wanafunzi kutoka Tanzania na nchi zingine zinazoendelea.

Habari za kufungwa kwa ubalozi wake Denmark ni za kustua kwa wengi kwani zinagusa kila anehusika moja kwa moja na misaada yake kwa nchi zinazoendelea na pia wale wanohusika moja kwa moja na usimamizi wa mfuko huo kwa Tanzania, maofisa ubalozi ambao wengi wamezoea nchi yetu na hata kuzungumza kiswahili sanifu na pia watumishi wa kitanzania ambao wamekuwa wakifanya kazi ubalozi hapo.

Sababu kubwa ya Denmark kufunga ubalozi wake imesemwa kuwa ni kutaka kupata muda wa kujipanga upya na kutengeneza upya mikakati yake ya sera ya nje na mwelekeo wa mkakati mpya wa dunia au "New Global Stretegy".

Lakini pia ni suali la kuuliza je kwanini Denmark ije na uamuzi huo sasa?, je wamegundua kitu gani? na je, wataendelea kutoa msaada kwa Tanzania baada ya 2024?

Au je, wameona tunatumbua tena fedha zao ambazo kuna kipindi zilikuwa zikitumika ipasavyo?

Haya ni masuali ambayo yanapaswa kujibiwa na waziri mhusika wa mambo ya nje balozi Mulamula na maelezo hata ya alert tu kuwa Denmark kufunga ubalozi wao ulodumu nchini Tanzania tangu mwaka 1963.

Lakini cha msingi kwa sasa ningependa kushauri kwamba hili ni jambo la dharura, kuwa mdau wetu mkubwa wa maendeleo Denmark anafunga ubalozi wake ifikapo 2024.

Hivyo Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingechukua hatua za kuitisha kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa Denmark na kwamba ni hatua zipi zitafuatwa kujaribu kutafuta kama Denmark inaweza kubadili msimamo wake huko mbele wa kuisaidia Tanzania kupitia njia zingine.

Waziri wa mambo ya nje anapaswa kutoa taarifa rasmi ya serikali bungeni kuelezea uamuzi huo wa Denmark.

Acha mabeberu wote waondoke, washirika wetu wa kimkakati Burundi wanatosha sana
 
Ni matokeo ya Tundu Lissu kuichafua nchi nje ya nchi, Bunge msipoteze muda kwa ujinga kama huu, waTZ tutaprevail tu, hawa wapinzani uchwara wanaoomba nchi yao ikose hela kwa manufaa yao ya kisiasa watashindwa tu, TZ will stand always
 
Kule mnahangaika kumtuma Mulamula akarekebishe mahusiano na wahisani, huku mnawakamata wapinzani kwa kuwabambikia kesi.

Matokeo yake wahisani wanaondoka halafu mnamlaumu Lissu kama vile alipeleka barua ubalozini kwao kuwaomba waondoke, wakati nyie ndio mlimfukuza nchini.
 
Dunia haihitaji kuambiwa na TL yanayoendelea Tz, halafu grow up acha kumtupia lawama mtu ambaye hahusiki na uharibifu kwenye nchi hii.

Nchi iliyochafuka TL anaichafuaje?
 
CCM wenzako watajibu acha waondoke sisi tuna hela na tupo uchumi wa kati.

Wanafikiri mahusiano baina ya nchi na nchi ni pesa tu, wana akili za kidangaji.

Halafu ni wabunge gani hao unawatuma wakajadili hili jambo sensitive kiasi hiki? Hawa akina Babu Tale? we unatafuta pesa zetu zikafujwe bila matokeo yoyote chanya. Labda umuombe Jerry Silaa na wenzake wachache sana kama Halima mdee ndio wakajadili, walau wanauwezo wa kujadili hili.
 
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.

Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mara tu nchi yetu ilipopata uhuru wake mwaka 1963.

Kupitia mfuko wake wa maendeleo ujulikanao kwa jina la DANIDA Denmark imekuwa mdau mkubwa ambae amekuwa akitoa fedha za maendeleo kwenye maeneo kama haki za binadamu, ukuzaji demokrasia, utawala bora, utulivu na usalama, vita dhidi ya ugaidi, misaada ya wakimbizi na mazingira.

Pia DANIDA imekuwa ikisaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi.

Kupitia mfuko wake wa Danida Fellowship Centre nchi hiyo imekuwa ikifadhili shahada za uzimivu katika masuala mbalimbali kwa baadhi ya wanafunzi kutoka Tanzania na nchi zingine zinazoendelea.

Habari za kufungwa kwa ubalozi wake Denmark ni za kustua kwa wengi kwani zinagusa kila anehusika moja kwa moja na misaada yake kwa nchi zinazoendelea na pia wale wanohusika moja kwa moja na usimamizi wa mfuko huo kwa Tanzania, maofisa ubalozi ambao wengi wamezoea nchi yetu na hata kuzungumza kiswahili sanifu na pia watumishi wa kitanzania ambao wamekuwa wakifanya kazi ubalozi hapo.

Sababu kubwa ya Denmark kufunga ubalozi wake imesemwa kuwa ni kutaka kupata muda wa kujipanga upya na kutengeneza upya mikakati yake ya sera ya nje na mwelekeo wa mkakati mpya wa dunia au "New Global Stretegy".

Lakini pia ni suali la kuuliza je kwanini Denmark ije na uamuzi huo sasa?, je wamegundua kitu gani? na je, wataendelea kutoa msaada kwa Tanzania baada ya 2024?

Au je, wameona tunatumbua tena fedha zao ambazo kuna kipindi zilikuwa zikitumika ipasavyo?

Haya ni masuali ambayo yanapaswa kujibiwa na waziri mhusika wa mambo ya nje balozi Mulamula na maelezo hata ya alert tu kuwa Denmark kufunga ubalozi wao ulodumu nchini Tanzania tangu mwaka 1963.

Lakini cha msingi kwa sasa ningependa kushauri kwamba hili ni jambo la dharura, kuwa mdau wetu mkubwa wa maendeleo Denmark anafunga ubalozi wake ifikapo 2024.

Hivyo Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingechukua hatua za kuitisha kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa Denmark na kwamba ni hatua zipi zitafuatwa kujaribu kutafuta kama Denmark inaweza kubadili msimamo wake huko mbele wa kuisaidia Tanzania kupitia njia zingine.

Waziri wa mambo ya nje anapaswa kutoa taarifa rasmi ya serikali bungeni kuelezea uamuzi huo wa Denmark.
Kilicho dhahiri ni kuwa Dernmark imetukia lugha ya diplomasia, waziri wao anaposema jukumu lake la msingi ni usalama wa Dernamark wakati ulimwengu unapitia nyakati ambazo demokrasia na haki za watu vikigandamizwa. Sentensi hii imebeba ujumbe mzito.

Hayo marekebisho ya sera ya nje, kwa jini yahusishe kufungwa kwa ubalozi wao Tanzania tu, na isiwe Ghana, Zambia, Botswana au Kenya? Kwa nini Tanzania tu?

Ugandamizaji wa demokrasia, uhuru na haki za watu, ndiyo sababu kubwa.

Dernmark imekuwa ikitoa pesa nyingi kuisaidia serikali kujenga taasisi za kidemokrasia, lakini kinyume chake, udikteta ndiyo unazidi kuimarika. Kwa nini aendelee kupoteza pesa yake?

Tungekuwa na Bunge, lingem-task Waziri Mkuu, aeleze kwa nini demokrasia, haki za watu na uhuru wa watu, vinazidi kudidimia kiasi cha kufikia Dernmark kuamua kufunga ubalozi wake. Lakini, hata hilo tunaloita Bunge, ni genge tu la wahuni lililotengenezwa na mtu mmoja. Ni zao la ukanyagaji wa demokrasia. Genge hili haliwezi kuiwajibisha Serikali kwa sababu na lenyewe ni tunda la uovu.
 
Ni matokeo ya Tundu Lissu kuichafua nchi nje ya nchi, Bunge msipoteze muda kwa ujinga kama huu, waTZ tutaprevail tu, hawa wapinzani uchwara wanaoomba nchi yao ikose hela kwa manufaa yao ya kisiasa watashindwa tu, TZ will stand always
Lazima uwe mpum.bavu kupindukia kuamini kuwa Tanzania inaweza kuishi bila ya Dunia. We are too weak to withstand the global shocks we alone. We need international community support and interactions.

Unaelewa, ni mataifa gani mengine yatafuata?
 
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.

Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mara tu nchi yetu ilipopata uhuru wake mwaka 1963.

Kupitia mfuko wake wa maendeleo ujulikanao kwa jina la DANIDA Denmark imekuwa mdau mkubwa ambae amekuwa akitoa fedha za maendeleo kwenye maeneo kama haki za binadamu, ukuzaji demokrasia, utawala bora, utulivu na usalama, vita dhidi ya ugaidi, misaada ya wakimbizi na mazingira.

Pia DANIDA imekuwa ikisaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi.

Kupitia mfuko wake wa Danida Fellowship Centre nchi hiyo imekuwa ikifadhili shahada za uzimivu katika masuala mbalimbali kwa baadhi ya wanafunzi kutoka Tanzania na nchi zingine zinazoendelea.

Habari za kufungwa kwa ubalozi wake Denmark ni za kustua kwa wengi kwani zinagusa kila anehusika moja kwa moja na misaada yake kwa nchi zinazoendelea na pia wale wanohusika moja kwa moja na usimamizi wa mfuko huo kwa Tanzania, maofisa ubalozi ambao wengi wamezoea nchi yetu na hata kuzungumza kiswahili sanifu na pia watumishi wa kitanzania ambao wamekuwa wakifanya kazi ubalozi hapo.

Sababu kubwa ya Denmark kufunga ubalozi wake imesemwa kuwa ni kutaka kupata muda wa kujipanga upya na kutengeneza upya mikakati yake ya sera ya nje na mwelekeo wa mkakati mpya wa dunia au "New Global Stretegy".

Lakini pia ni suali la kuuliza je kwanini Denmark ije na uamuzi huo sasa?, je wamegundua kitu gani? na je, wataendelea kutoa msaada kwa Tanzania baada ya 2024?

Au je, wameona tunatumbua tena fedha zao ambazo kuna kipindi zilikuwa zikitumika ipasavyo?

Haya ni masuali ambayo yanapaswa kujibiwa na waziri mhusika wa mambo ya nje balozi Mulamula na maelezo hata ya alert tu kuwa Denmark kufunga ubalozi wao ulodumu nchini Tanzania tangu mwaka 1963.

Lakini cha msingi kwa sasa ningependa kushauri kwamba hili ni jambo la dharura, kuwa mdau wetu mkubwa wa maendeleo Denmark anafunga ubalozi wake ifikapo 2024.

Hivyo Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingechukua hatua za kuitisha kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa Denmark na kwamba ni hatua zipi zitafuatwa kujaribu kutafuta kama Denmark inaweza kubadili msimamo wake huko mbele wa kuisaidia Tanzania kupitia njia zingine.

Waziri wa mambo ya nje anapaswa kutoa taarifa rasmi ya serikali bungeni kuelezea uamuzi huo wa Denmark.
Tumeshakuwa nchi ya uchumi wa Kati labda lengo lao na dhamira ya kutusaidia imetimia sasa wametuacha tutembee wenyewe
 
Kule mnahangaika kumtuma Mulamula akarekebishe mahusiano na wahisani, huku mnawakamata wapinzani kwa kuwabambikia kesi.

Matokeo yake wahisani wanaondoka halafu mnamlaumu Lissu kama vile alipeleka barua ubalozini kwao kuwaomba waondoke, wakati nyie ndio mlimfukuza nchini.
Nani kabambikiwa kesi Mkuu? Mother kesi ya Mbowe kaikuta, na tayari upelelezi ulikuwa umekamilika, according to polisi, ulitaka afanye nini mzee? Aingilie? Siyo rahisi kihivyo, imani yangu jamaa atatoka na maisha yataendelea, ila hii ya kushangilia mapolisi kuuwawa siyo poa mkuu! TZ itaendelea kusimama mkuu, ishakutana na maadui wengi sana wenye nguvu, bado ilisimama! Lissu alisumbuliwa na Magu, now anaweza kurudi akiamua
 
Ni matokeo ya Tundu Lissu kuichafua nchi nje ya nchi, Bunge msipoteze muda kwa ujinga kama huu, waTZ tutaprevail tu, hawa wapinzani uchwara wanaoomba nchi yao ikose hela kwa manufaa yao ya kisiasa watashindwa tu, TZ will stand always
Duh! Na heshimu sana mawazo yako mhhhhh!!!
 
Back
Top Bottom