Bunge liitishe kikao cha dharura kujadili kufungwa kwa ubalozi wa Denmark 2024

Bunge liitishe kikao cha dharura kujadili kufungwa kwa ubalozi wa Denmark 2024

Labda wameona juhudi zote wanazozifanya ni kama wanapiga ngoma kwenye maji. We fikria wanapoteza kiasi kikubwa kwenye suala la elimu kwa lengo la kuelimisha jamii ili wapatikane viongozi bora, nchi iwe na deokrasia bora,wasiwepo viongozi wala rushwa,wapatikane wataalamu wazuri wa kupaisha uchumi wa nchi lakini imekuwa kinyume.
Hawamuelewi Mulamula Liberata...hata mimi simuelewi! Wameona isiwe taabu!
Mkitaka waghairi nendeni mezani mkaruhusu.....!
 
Kuna msemo wa kipolo unasema: "Jak nie wiesz o co chodzi, Chodzi o pieniedze". Tafsiri yake ni kuwa: Kama kuna jambo halieleweki vizuri, basi chunguza utakuta pesa inahusika. Denmark waliwahi kulianzisha hili suala miaka kumi iliyopita kwamba wanataka kuangalia sera zao za nchi za nje na hasa suala la wakimbizi. Walienda mbali zaidi na kutunga sheria inayomtaka mdanish anayeolewa au kuoa mgeni (Hasa kutoka Afrika)ni sharti huyo mdanish akaishi kwanza ugenini kwa kipindi kisichopungua miaka 10 ndipo wafikirie kutoa uraia wao. Nadhani hili suala limeibuka upya.

Kama kawaida ya hawa jamaa huwa maneno yao ya kukukatalia au kukuhukumu huwa wanayaficha kwenye sentensi za kidiplomasia kama vile "kulinda maslahi ya nchi" "Kulinda watu wetu" na kimsingi ni hivyo!. Usione pesa zinamiminika kutoka Denmark kuja Tanzania ukadhani kuwa wadanish wote wanafurahia... Hapana! sera na mipango ya Serikali huwa inapingwa wazi wazi sana na mtu mmoja mmoja au vikundi. Ukikaa huko kitu kama mwaka na zaidi ndio utajua kuwa sio vile tunavyo wachukulia.
 
CCM wenzako watajibu acha waondoke sisi tuna hela na tupo uchumi wa kati.

Wanafikiri mahusiano baina ya nchi na nchi ni pesa tu, wana akili za kidangaji.

Halafu ni wabunge gani hao unawatuma wakajadili hili jambo sensitive kiasi hiki? Hawa akina Babu Tale? we unatafuta pesa zetu zikafujwe bila matokeo yoyote chanya. Labda umuombe Jerry Silaa na wenzake wachache sana kama Halima mdee ndio wakajadili, walau wanauwezo wa kujadili hili.
Ungechunguza kwa nini wanaondoka
 
Ni matokeo ya Tundu Lissu kuichafua nchi nje ya nchi, Bunge msipoteze muda kwa ujinga kama huu, waTZ tutaprevail tu, hawa wapinzani uchwara wanaoomba nchi yao ikose hela kwa manufaa yao ya kisiasa watashindwa tu, TZ will stand always
Samahani lakini Ujinga sio tusi ila wewe ni mpumbavu,Bora hata huyo Tundu Lissu anazuia hiyo misaada maana ni aibu kulilia misaada wakati Nchi Ina miaka 60 ya uhuru
Kingine Mwanaume wa uliekamilika kupenda misaada utakuja olewa na kuhemewa kisogoni na dume mwenzio
Shwain!
 
Na kwanini tuwe dhalili na kukinga mabakuli miaka yote hii tangu 63?
Hivi hatuna soni wala aibu kila kukicha kuomba tu

Laiti kama hela zote walizotupa tangu Uhuru zingetumika inavyotakiwa bila wizi na ufujaji nafikiri tungewaambia asanteni sana kwa misaada yenu

Lakini kila tunapopewa na kuambiwa hizi ni za madawa au za watoto hapo ndio kwanza viongozi wanaona mafala wameleta zingine acha tugawane
Ukweli ndio huo
Na wao sio wajinga wanayaona yote
 
Samahani lakini Ujinga sio tusi ila wewe ni mpumbavu,Bora hata huyo Tundu Lissu anazuia hiyo misaada maana ni aibu kulilia misaada wakati Nchi Ina miaka 60 ya uhuru
Kingine Mwanaume wa uliekamilika kupenda misaada utakuja olewa na kuhemewa kisogoni na dume mwenzio
Shwain!
Tunaishi kwa kutegemeana jombaa, ni kweli naweza kuwa mpumbavu mkuu, naweza kuwa nahemewa pia kiongozi, ila naamini TZ tunaelekea pazuri mzee, njoo nihemehee basi bosi
 
kuna nchi nyingi tu tunaweza kushirikiana nazo zenye GDP kubwa kuliko Danmark..mathalan Iran, Malaysia to mention a few.. kwann tuendelee kuhemea since 1960s?? ndio uezo wetu ulipoishia?
Ndio uwezo wa akili yako ilipofikia wewe Tale Tale. Hao uliowataja wanachangia kiasi kwenye bajeti na huduma za kijamii?
 
Nimekusoma mkuu, since Samia kachukua nchi ni kosa gani kubwa kafanya hadi watu wamuoneshe chuki kubwa namna hii?
Samia alikuwa kwenye njia sahihi. Wengi walimpenda na kumheshimu, hata wale wa nje ya chama chake.

Wahafidhina ndani ya CCM hawakufurahia hali ile. Walitaka Samia awe kwenye ugomvi na vyama vya upinzani. Wakayafuta namna ya kumfitinisha ili achukiwe na vyama vya upinzani, watamzania wanaotaka haki, na jamii ya kimataifa. Majali pekee walipoona wanaweza kupiga ndege watatu kwa jiwe 1. Jiwe hilo likawa ni kumkamata Mbowe na kumbambikia kesi ya ugaidi. Samia bila kujitambua, akaingia miguu yote miwili, ghafla akanuka kila mahali.
 
Back
Top Bottom