Bunge liitishe kikao cha dharura kujadili kufungwa kwa ubalozi wa Denmark 2024

Samia alikuwa kwenye njia sahihi. Wengi walimpenda na kumheshimu, hata wale wa nje ya chama chake.

Wahafidhina ndani ya CCM hawakufurahia hali ile. Walitaka Samia awe kwenye ugomvi na vyama vya upinzani. Wakayafuta namna ya kumfitinisha ili achukiwe na vyama vya upinzani, watamzania wanaotaka haki, na jamii ya kimataifa. Majali pekee walipoona wanaweza kupiga ndege watatu kwa jiwe 1. Jiwe hilo likawa ni kumkamata Mbowe na kumbambikia kesi ya ugaidi. Samia bila kujitambua, akaingia miguu yote miwili, ghafla akanuka kila mahali.
Mkuu ishu ya mbowe ina utata mwingi sana, unaonaje tusubiri tuone ushahidi utaoletwa mahakami upoje, sidhani kama mpenda demokrasia yeyote anapenda Mbowe kuwa ndani muda huu, ila ngoja tuone nini wanasema hawa wanasheria!! Kwa upande wangu natamani Mbowe aachiwe huru, Mwamba ana mchango mkubwa kwa taifa hili, hamna mtu hajawahi kukosea, serikali ijifikirie kwa hilo
 
Hamza is the hero. Not the one who was killed by covid-19

1630099157346.png

Hawamuelewi Mulamula Liberata...hata mimi simuelewi! Wameona isiwe taabu!
Mkitaka waghairi nendeni mezani mkaruhusu.....!
 
WaAfrica na Watanzania tuache kulialia, kama Denmark kaamua kufunga ubalozi kwa sababu zake mwenyewe tunambembelezea nini tuendelee tu na maisha yetu..

Kama watanzania tunaamini CCM ndio tatizo tuitoe wenyewe bila kumtegemea yeyote...kwanini tufundishwe demokrasia na weupe?, hebu sasa tuishi tunavyoona sisi inafaa na sio wanavyoona wao inafaa... tukiona fulani anaenda tofauti na ustaarabu tunaoutaka tuchapane tu kuinstall ustaarabu tuutakao na sio ustaarabu autakao mzungu...

Tuache sasa kufikiria misaada na kusaidiwa, tuna ardhi kubwa sana, tuna bahari, mito, maziwa, madini nk...baada ya kulialia twendeni tukafanye kazi kwa nguvu kila mtu kwa nafasi yake halafu muone kama wajukuu zenu watabembeleza wazungu.....Mbona Mchina na Mrusi hawabembelezi mtu....
Mkuu uko sawa hii nchi haitakuja kuendelea sie tuishi wewe watu tumewafundisha kulima nazi, chikichi na mpunga leo wanavuna mwingi na kutuuzia sisi 😂😂😂😂😂 sie tuishi
 
He he heeeeee haloooo hii kiboko.....
Mkuu ungetumia japo tafsida kidogo kwamba wabunge wetu wanakusanyikaga dodoma kupigana miti tu badala ya kushughulika na kujadili mambo muhimu kabisa ya nchi yetu...
Wewe unaona wanajadili mambo serious ya nchi ?
 
Waziri wa mambo ya nje anapaswa kutoa taarifa rasmi ya serikali bungeni kuelezea uamuzi huo wa Denmark.
Ninakubaliana nawe juu ya hili pekee katika mengine yote uliyoandika kwenye mada yako.

Hii tabia ya utegemezi imekuwa kilema kikbwa sana kwenye nchi yetu.

Yaani wewe unaona kabisa maana ya kuwa na ubalozi hapa nchini ni kupata misaada?

Miaka 60 tokea tupate uhuru wetu na kuwa wategemezi wa misaada, bado tunalialia tuonewe huruma ya misaada?

Hao waliosomeshwa na digrii zao za "uvamizi" hadi leo hii wamefanya nini, au ni pamoja na wewe mleta mada hii?

Umesomea "uvamizi" ili uwe mzuri sana kuililia misaada hiyo?

Tunachohitaji sana ndani ya nchi hii sasa ni kumpata kiongozi atakayeamsha ari ya wananchi kujiona kuwa uwezo wa kujitafutia maendeleo yetu tayari runao mkubwa sana, tunachokosa tu ni uongozi wa kutuwezesha kuyaleta maendeleo hayo sisi wenyewe.

Halafu unataka bunge lifanye nini? Bunge lipi, hili la 'comedy' ya Ndugai?

Denmark wanafanya jambo jema sana, ningewasihi na nchi nyingine na wao wafuate mfano wao.
 
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.

Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mara tu nchi yetu ilipopata uhuru wake mwaka 1963.

Kupitia mfuko wake wa maendeleo ujulikanao kwa jina la DANIDA Denmark imekuwa mdau mkubwa ambae amekuwa akitoa fedha za maendeleo kwenye maeneo kama haki za binadamu, ukuzaji demokrasia, utawala bora, utulivu na usalama, vita dhidi ya ugaidi, misaada ya wakimbizi na mazingira.

Pia DANIDA imekuwa ikisaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi.

Kupitia mfuko wake wa Danida Fellowship Centre nchi hiyo imekuwa ikifadhili shahada za uzimivu katika masuala mbalimbali kwa baadhi ya wanafunzi kutoka Tanzania na nchi zingine zinazoendelea.

Habari za kufungwa kwa ubalozi wake Denmark ni za kustua kwa wengi kwani zinagusa kila anehusika moja kwa moja na misaada yake kwa nchi zinazoendelea na pia wale wanohusika moja kwa moja na usimamizi wa mfuko huo kwa Tanzania, maofisa ubalozi ambao wengi wamezoea nchi yetu na hata kuzungumza kiswahili sanifu na pia watumishi wa kitanzania ambao wamekuwa wakifanya kazi ubalozi hapo.

Sababu kubwa ya Denmark kufunga ubalozi wake imesemwa kuwa ni kutaka kupata muda wa kujipanga upya na kutengeneza upya mikakati yake ya sera ya nje na mwelekeo wa mkakati mpya wa dunia au "New Global Stretegy".

Lakini pia ni suali la kuuliza je kwanini Denmark ije na uamuzi huo sasa?, je wamegundua kitu gani? na je, wataendelea kutoa msaada kwa Tanzania baada ya 2024?

Au je, wameona tunatumbua tena fedha zao ambazo kuna kipindi zilikuwa zikitumika ipasavyo?

Haya ni masuali ambayo yanapaswa kujibiwa na waziri mhusika wa mambo ya nje balozi Mulamula na maelezo hata ya alert tu kuwa Denmark kufunga ubalozi wao ulodumu nchini Tanzania tangu mwaka 1963.

Lakini cha msingi kwa sasa ningependa kushauri kwamba hili ni jambo la dharura, kuwa mdau wetu mkubwa wa maendeleo Denmark anafunga ubalozi wake ifikapo 2024.

Hivyo Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingechukua hatua za kuitisha kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa Denmark na kwamba ni hatua zipi zitafuatwa kujaribu kutafuta kama Denmark inaweza kubadili msimamo wake huko mbele wa kuisaidia Tanzania kupitia njia zingine.

Waziri wa mambo ya nje anapaswa kutoa taarifa rasmi ya serikali bungeni kuelezea uamuzi huo wa Denmark.
Pesa wanawapa mnaenda kufadhili wasiojulikana na Magaidi
 
Denmark tulikuwa nao sawa uchumi lakini leo wanatupa misaada kanchi SAwa na mkoa.
Tatizo la ukosefu wa uongozi bora.
Wao wanapata viongozi sisi tunapata watawala.
Kwani hao watawala wenyewe wapo?
 
Ni matokeo ya Tundu Lissu kuichafua nchi nje ya nchi, Bunge msipoteze muda kwa ujinga kama huu, waTZ tutaprevail tu, hawa wapinzani uchwara wanaoomba nchi yao ikose hela kwa manufaa yao ya kisiasa watashindwa tu, TZ will stand always
Hata hizo pesa ccm huzitumia kwa manufaa ya kisiasa. Mtalia mwaka huu.
 
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.

Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mara tu nchi yetu ilipopata uhuru wake mwaka 1963.

Kupitia mfuko wake wa maendeleo ujulikanao kwa jina la DANIDA Denmark imekuwa mdau mkubwa ambae amekuwa akitoa fedha za maendeleo kwenye maeneo kama haki za binadamu, ukuzaji demokrasia, utawala bora, utulivu na usalama, vita dhidi ya ugaidi, misaada ya wakimbizi na mazingira.

Pia DANIDA imekuwa ikisaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi.

Kupitia mfuko wake wa Danida Fellowship Centre nchi hiyo imekuwa ikifadhili shahada za uzimivu katika masuala mbalimbali kwa baadhi ya wanafunzi kutoka Tanzania na nchi zingine zinazoendelea.

Habari za kufungwa kwa ubalozi wake Denmark ni za kustua kwa wengi kwani zinagusa kila anehusika moja kwa moja na misaada yake kwa nchi zinazoendelea na pia wale wanohusika moja kwa moja na usimamizi wa mfuko huo kwa Tanzania, maofisa ubalozi ambao wengi wamezoea nchi yetu na hata kuzungumza kiswahili sanifu na pia watumishi wa kitanzania ambao wamekuwa wakifanya kazi ubalozi hapo.

Sababu kubwa ya Denmark kufunga ubalozi wake imesemwa kuwa ni kutaka kupata muda wa kujipanga upya na kutengeneza upya mikakati yake ya sera ya nje na mwelekeo wa mkakati mpya wa dunia au "New Global Stretegy".

Lakini pia ni suali la kuuliza je kwanini Denmark ije na uamuzi huo sasa?, je wamegundua kitu gani? na je, wataendelea kutoa msaada kwa Tanzania baada ya 2024?

Au je, wameona tunatumbua tena fedha zao ambazo kuna kipindi zilikuwa zikitumika ipasavyo?

Haya ni masuali ambayo yanapaswa kujibiwa na waziri mhusika wa mambo ya nje balozi Mulamula na maelezo hata ya alert tu kuwa Denmark kufunga ubalozi wao ulodumu nchini Tanzania tangu mwaka 1963.

Lakini cha msingi kwa sasa ningependa kushauri kwamba hili ni jambo la dharura, kuwa mdau wetu mkubwa wa maendeleo Denmark anafunga ubalozi wake ifikapo 2024.

Hivyo Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingechukua hatua za kuitisha kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa Denmark na kwamba ni hatua zipi zitafuatwa kujaribu kutafuta kama Denmark inaweza kubadili msimamo wake huko mbele wa kuisaidia Tanzania kupitia njia zingine.

Waziri wa mambo ya nje anapaswa kutoa taarifa rasmi ya serikali bungeni kuelezea uamuzi huo wa Denmark.
Kwani sisi situnawaitaga Mabeberu,na pia wao wanaamini katika democrasia ya kweli,sisi tunaamini katika democrasia janja janja,Pia Susi situlishaingia uchumi wa Kati? Wameona wapo wahitaji kuliko sisi, ukanda wa sahel na pembe ya Afrika na maeneo yaliyoathiriwa na migogoro. Baada tu yakuona tuna uwezo wa kuibua miradi mikubwa mikubwa kwa mafweza ya ndani tena bila mikopo wameona, pia makusanyo mapya yamewapa moyo, kuwa tutatoboa, Bila misaada.
 
Ni matokeo ya Tundu Lissu kuichafua nchi nje ya nchi, Bunge msipoteze muda kwa ujinga kama huu, waTZ tutaprevail tu, hawa wapinzani uchwara wanaoomba nchi yao ikose hela kwa manufaa yao ya kisiasa watashindwa tu, TZ will stand always
Nchi ikose hela za mabeberu wakati ni tajiri aka donakantle?😝😝😝😝
 
Hata hizo pesa ccm huzitumia kwa manufaa ya kisiasa. Mtalia mwaka huu.
Siku tukipata upinzani wa kweli nitafurahi sana, siyo hawa wahuni wanaotaka ubunge na ujinga mwingine! Kifupi mzee wapinzani wetu njaa kali, wanajali matumbo yao tu, kwa sasa wanachoangalia ni jinsi gani Samia anaweza kuwatua, in the process nao wapate hela
 
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.

Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mara tu nchi yetu ilipopata uhuru wake mwaka 1963.

Kupitia mfuko wake wa maendeleo ujulikanao kwa jina la DANIDA Denmark imekuwa mdau mkubwa ambae amekuwa akitoa fedha za maendeleo kwenye maeneo kama haki za binadamu, ukuzaji demokrasia, utawala bora, utulivu na usalama, vita dhidi ya ugaidi, misaada ya wakimbizi na mazingira.

Pia DANIDA imekuwa ikisaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi.

Kupitia mfuko wake wa Danida Fellowship Centre nchi hiyo imekuwa ikifadhili shahada za uzimivu katika masuala mbalimbali kwa baadhi ya wanafunzi kutoka Tanzania na nchi zingine zinazoendelea.

Habari za kufungwa kwa ubalozi wake Denmark ni za kustua kwa wengi kwani zinagusa kila anehusika moja kwa moja na misaada yake kwa nchi zinazoendelea na pia wale wanohusika moja kwa moja na usimamizi wa mfuko huo kwa Tanzania, maofisa ubalozi ambao wengi wamezoea nchi yetu na hata kuzungumza kiswahili sanifu na pia watumishi wa kitanzania ambao wamekuwa wakifanya kazi ubalozi hapo.

Sababu kubwa ya Denmark kufunga ubalozi wake imesemwa kuwa ni kutaka kupata muda wa kujipanga upya na kutengeneza upya mikakati yake ya sera ya nje na mwelekeo wa mkakati mpya wa dunia au "New Global Stretegy".

Lakini pia ni suali la kuuliza je kwanini Denmark ije na uamuzi huo sasa?, je wamegundua kitu gani? na je, wataendelea kutoa msaada kwa Tanzania baada ya 2024?

Au je, wameona tunatumbua tena fedha zao ambazo kuna kipindi zilikuwa zikitumika ipasavyo?

Haya ni masuali ambayo yanapaswa kujibiwa na waziri mhusika wa mambo ya nje balozi Mulamula na maelezo hata ya alert tu kuwa Denmark kufunga ubalozi wao ulodumu nchini Tanzania tangu mwaka 1963.

Lakini cha msingi kwa sasa ningependa kushauri kwamba hili ni jambo la dharura, kuwa mdau wetu mkubwa wa maendeleo Denmark anafunga ubalozi wake ifikapo 2024.

Hivyo Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingechukua hatua za kuitisha kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa Denmark na kwamba ni hatua zipi zitafuatwa kujaribu kutafuta kama Denmark inaweza kubadili msimamo wake huko mbele wa kuisaidia Tanzania kupitia njia zingine.

Waziri wa mambo ya nje anapaswa kutoa taarifa rasmi ya serikali bungeni kuelezea uamuzi huo wa Denmark.

Bunge la majizi ya kura ndio la kuishawishi Denmark kusitisha mpango wa kuondoka kwenye nchi yenye siasa za kishenzi? Kwa jinsi nchi hii ilivyoingiza siasa za kipuuzi ndani ya miaka 6, nashangaa hata balozi nyingine zinangoja nini.
 
kuna nchi nyingi tu tunaweza kushirikiana nazo zenye GDP kubwa kuliko Danmark..mathalan Iran, Malaysia to mention a few.. kwann tuendelee kuhemea since 1960s?? ndio uezo wetu ulipoishia?

Mbona hamshirikiani nazo sasa?
 
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.

Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mara tu nchi yetu ilipopata uhuru wake mwaka 1963.

Kupitia mfuko wake wa maendeleo ujulikanao kwa jina la DANIDA Denmark imekuwa mdau mkubwa ambae amekuwa akitoa fedha za maendeleo kwenye maeneo kama haki za binadamu, ukuzaji demokrasia, utawala bora, utulivu na usalama, vita dhidi ya ugaidi, misaada ya wakimbizi na mazingira.

Pia DANIDA imekuwa ikisaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi.

Kupitia mfuko wake wa Danida Fellowship Centre nchi hiyo imekuwa ikifadhili shahada za uzimivu katika masuala mbalimbali kwa baadhi ya wanafunzi kutoka Tanzania na nchi zingine zinazoendelea.

Habari za kufungwa kwa ubalozi wake Denmark ni za kustua kwa wengi kwani zinagusa kila anehusika moja kwa moja na misaada yake kwa nchi zinazoendelea na pia wale wanohusika moja kwa moja na usimamizi wa mfuko huo kwa Tanzania, maofisa ubalozi ambao wengi wamezoea nchi yetu na hata kuzungumza kiswahili sanifu na pia watumishi wa kitanzania ambao wamekuwa wakifanya kazi ubalozi hapo.

Sababu kubwa ya Denmark kufunga ubalozi wake imesemwa kuwa ni kutaka kupata muda wa kujipanga upya na kutengeneza upya mikakati yake ya sera ya nje na mwelekeo wa mkakati mpya wa dunia au "New Global Stretegy".

Lakini pia ni suali la kuuliza je kwanini Denmark ije na uamuzi huo sasa?, je wamegundua kitu gani? na je, wataendelea kutoa msaada kwa Tanzania baada ya 2024?

Au je, wameona tunatumbua tena fedha zao ambazo kuna kipindi zilikuwa zikitumika ipasavyo?

Haya ni masuali ambayo yanapaswa kujibiwa na waziri mhusika wa mambo ya nje balozi Mulamula na maelezo hata ya alert tu kuwa Denmark kufunga ubalozi wao ulodumu nchini Tanzania tangu mwaka 1963.

Lakini cha msingi kwa sasa ningependa kushauri kwamba hili ni jambo la dharura, kuwa mdau wetu mkubwa wa maendeleo Denmark anafunga ubalozi wake ifikapo 2024.

Hivyo Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingechukua hatua za kuitisha kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa Denmark na kwamba ni hatua zipi zitafuatwa kujaribu kutafuta kama Denmark inaweza kubadili msimamo wake huko mbele wa kuisaidia Tanzania kupitia njia zingine.

Waziri wa mambo ya nje anapaswa kutoa taarifa rasmi ya serikali bungeni kuelezea uamuzi huo wa Denmark.

Hizi ni balozi za Danmark Africa
Ni Tanzania tu wanafunga. Ni nini kimetokea?
Je na wenzao katika Nordic group (Norway, Sweden na Finland) wana mipango hiyo?
 
Back
Top Bottom