Bunge liitishe kikao cha dharura kujadili kufungwa kwa ubalozi wa Denmark 2024

Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.

Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mara tu nchi yetu ilipopata uhuru wake mwaka 1963.

Kupitia mfuko wake wa maendeleo ujulikanao kwa jina la DANIDA Denmark imekuwa mdau mkubwa ambae amekuwa akitoa fedha za maendeleo kwenye maeneo kama haki za binadamu, ukuzaji demokrasia, utawala bora, utulivu na usalama, vita dhidi ya ugaidi, misaada ya wakimbizi na mazingira.

Pia DANIDA imekuwa ikisaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi.

Kupitia mfuko wake wa Danida Fellowship Centre nchi hiyo imekuwa ikifadhili shahada za uzimivu katika masuala mbalimbali kwa baadhi ya wanafunzi kutoka Tanzania na nchi zingine zinazoendelea.

Habari za kufungwa kwa ubalozi wake Denmark ni za kustua kwa wengi kwani zinagusa kila anehusika moja kwa moja na misaada yake kwa nchi zinazoendelea na pia wale wanohusika moja kwa moja na usimamizi wa mfuko huo kwa Tanzania, maofisa ubalozi ambao wengi wamezoea nchi yetu na hata kuzungumza kiswahili sanifu na pia watumishi wa kitanzania ambao wamekuwa wakifanya kazi ubalozi hapo.

Sababu kubwa ya Denmark kufunga ubalozi wake imesemwa kuwa ni kutaka kupata muda wa kujipanga upya na kutengeneza upya mikakati yake ya sera ya nje na mwelekeo wa mkakati mpya wa dunia au "New Global Stretegy".

Lakini pia ni suali la kuuliza je kwanini Denmark ije na uamuzi huo sasa?, je wamegundua kitu gani? na je, wataendelea kutoa msaada kwa Tanzania baada ya 2024?

Au je, wameona tunatumbua tena fedha zao ambazo kuna kipindi zilikuwa zikitumika ipasavyo?

Haya ni masuali ambayo yanapaswa kujibiwa na waziri mhusika wa mambo ya nje balozi Mulamula na maelezo hata ya alert tu kuwa Denmark kufunga ubalozi wao ulodumu nchini Tanzania tangu mwaka 1963.

Lakini cha msingi kwa sasa ningependa kushauri kwamba hili ni jambo la dharura, kuwa mdau wetu mkubwa wa maendeleo Denmark anafunga ubalozi wake ifikapo 2024.

Hivyo Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingechukua hatua za kuitisha kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa Denmark na kwamba ni hatua zipi zitafuatwa kujaribu kutafuta kama Denmark inaweza kubadili msimamo wake huko mbele wa kuisaidia Tanzania kupitia njia zingine.

Waziri wa mambo ya nje anapaswa kutoa taarifa rasmi ya serikali bungeni kuelezea uamuzi huo wa Denmark.
Hawa nao! Eti wanafunga mwaka 2024! Si bora wangefunga Mwezi huu huu tu!
 
Naona mabalozi wamdraw interest ya kufuatilia kwa karibu sn kesi ya ugaidi inayoendelea. Kama anakwenda wote mahakamani, kuna kitu cha kujifunza hapo maana si kawaida yao kufanya hivyo kwenye kesi zingine
 
Watu hawajui tu Mkuu, hawa wazungu zero kabisa, tunaweza kuishi bila wao! Kwa sasa wanaanza kudata wanajua kwamba tumejua janja yao, tunaweza kuishi bila wao, wamedata, hao denmark ndiyo wajinga kabisa, wafunge huo ubalozi na wasirudi tena tz
Mjinga Ni wewe ambaye hujui mchango wa Nordic countries tangu tupate uhuru
 
1).Chanzo Cha taarifa hii.?
2).Kama wamekuwa wanatoa misaada yangu 1963,nadhani wakati umefika wa Tanzania nayo iwe donor country,isaidie nchi zingine au iwe inajitegemea badala ya kutegemea misaada miaka yote(ukibebwa......)
3).Hii misaada ni yawalipa kodi wa Denmark,na wao wanachoka
4).Pengine inatokana na kuyumba kwa uchumi wa dunia au wanaona misaada wanatoa inatumika kununulia V8Vx badala ya kuleta maendeleo
 
Watu hawajui tu Mkuu, hawa wazungu zero kabisa, tunaweza kuishi bila wao! Kwa sasa wanaanza kudata wanajua kwamba tumejua janja yao, tunaweza kuishi bila wao, wamedata, hao denmark ndiyo wajinga kabisa, wafunge huo ubalozi na wasirudi tena tz
Kuna mpuuzi mmoja Mtanzania huwa anaishi Sweden kwa ajili kaoa hko, always anawaponda sana wazungu lakini mke wake ni mzungu na yeye mwenyewe anafugwa huko!
 
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.

Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mara tu nchi yetu ilipopata uhuru wake mwaka 1963.

Kupitia mfuko wake wa maendeleo ujulikanao kwa jina la DANIDA Denmark imekuwa mdau mkubwa ambae amekuwa akitoa fedha za maendeleo kwenye maeneo kama haki za binadamu, ukuzaji demokrasia, utawala bora, utulivu na usalama, vita dhidi ya ugaidi, misaada ya wakimbizi na mazingira.

Pia DANIDA imekuwa ikisaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi.

Kupitia mfuko wake wa Danida Fellowship Centre nchi hiyo imekuwa ikifadhili shahada za uzimivu katika masuala mbalimbali kwa baadhi ya wanafunzi kutoka Tanzania na nchi zingine zinazoendelea.

Habari za kufungwa kwa ubalozi wake Denmark ni za kustua kwa wengi kwani zinagusa kila anehusika moja kwa moja na misaada yake kwa nchi zinazoendelea na pia wale wanohusika moja kwa moja na usimamizi wa mfuko huo kwa Tanzania, maofisa ubalozi ambao wengi wamezoea nchi yetu na hata kuzungumza kiswahili sanifu na pia watumishi wa kitanzania ambao wamekuwa wakifanya kazi ubalozi hapo.

Sababu kubwa ya Denmark kufunga ubalozi wake imesemwa kuwa ni kutaka kupata muda wa kujipanga upya na kutengeneza upya mikakati yake ya sera ya nje na mwelekeo wa mkakati mpya wa dunia au "New Global Stretegy".

Lakini pia ni suali la kuuliza je kwanini Denmark ije na uamuzi huo sasa?, je wamegundua kitu gani? na je, wataendelea kutoa msaada kwa Tanzania baada ya 2024?

Au je, wameona tunatumbua tena fedha zao ambazo kuna kipindi zilikuwa zikitumika ipasavyo?

Haya ni masuali ambayo yanapaswa kujibiwa na waziri mhusika wa mambo ya nje balozi Mulamula na maelezo hata ya alert tu kuwa Denmark kufunga ubalozi wao ulodumu nchini Tanzania tangu mwaka 1963.

Lakini cha msingi kwa sasa ningependa kushauri kwamba hili ni jambo la dharura, kuwa mdau wetu mkubwa wa maendeleo Denmark anafunga ubalozi wake ifikapo 2024.

Hivyo Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingechukua hatua za kuitisha kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa Denmark na kwamba ni hatua zipi zitafuatwa kujaribu kutafuta kama Denmark inaweza kubadili msimamo wake huko mbele wa kuisaidia Tanzania kupitia njia zingine.

Waziri wa mambo ya nje anapaswa kutoa taarifa rasmi ya serikali bungeni kuelezea uamuzi huo wa Denmark.
Nadhani sababu waiyotoa inatosha

with COVID-19, digital evolution pamoja na changes kwenye economic diplomacy, tujiandae kuona Balozi zaidi zinafungwa

hata models za in agencies lazima zibadilike

labda Swai kwako mleta mada… hao Denmark wanafunga balozi ngapi duniani?
 
Niliwahi kumuuliza Diplomat mmoja mantiki ya nchi zilizoko kwenye umoja wa ulaya kuendelea kuwa na Balozi zao wakati umoja wa ulaya wana jengo kubwa lenye ofisi kwa kila nchi mwanachama.... Kwa nini nchi wanachama zisiwakilishwe kupitia EU?

Jibu alilonipa ni kuwa nchi wanachama ndani ya EU huwa zina maslahi na interest nyingine kati ya nchi mwenyeji na ya kigeni nje ya EU...

Kwa maana hiyo inawezekana Denmark hawaoni tena umuhimu wa uhusiano wetu nao kwa sasa, wataendelea kuwepo chini ya EU.
 
Uamuzi wa Dernmark kufunga baadhi ya balozi zake duniani ni KUJITAFAKARI.....wameelezea bayana tu........

Wanafunga balozi zao ikiwemo ya ARGENTINA ,CHINA ,UHISPANIA na kwengineko....."issue" siyo Tanzania tu.......
Hili jibu nilikuwa nalitegemea kutoka kwa wana ccm
 
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.

Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mara tu nchi yetu ilipopata uhuru wake mwaka 1963.

Kupitia mfuko wake wa maendeleo ujulikanao kwa jina la DANIDA Denmark imekuwa mdau mkubwa ambae amekuwa akitoa fedha za maendeleo kwenye maeneo kama haki za binadamu, ukuzaji demokrasia, utawala bora, utulivu na usalama, vita dhidi ya ugaidi, misaada ya wakimbizi na mazingira.

Pia DANIDA imekuwa ikisaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi.

Kupitia mfuko wake wa Danida Fellowship Centre nchi hiyo imekuwa ikifadhili shahada za uzimivu katika masuala mbalimbali kwa baadhi ya wanafunzi kutoka Tanzania na nchi zingine zinazoendelea.

Habari za kufungwa kwa ubalozi wake Denmark ni za kustua kwa wengi kwani zinagusa kila anehusika moja kwa moja na misaada yake kwa nchi zinazoendelea na pia wale wanohusika moja kwa moja na usimamizi wa mfuko huo kwa Tanzania, maofisa ubalozi ambao wengi wamezoea nchi yetu na hata kuzungumza kiswahili sanifu na pia watumishi wa kitanzania ambao wamekuwa wakifanya kazi ubalozi hapo.

Sababu kubwa ya Denmark kufunga ubalozi wake imesemwa kuwa ni kutaka kupata muda wa kujipanga upya na kutengeneza upya mikakati yake ya sera ya nje na mwelekeo wa mkakati mpya wa dunia au "New Global Stretegy".

Lakini pia ni suali la kuuliza je kwanini Denmark ije na uamuzi huo sasa?, je wamegundua kitu gani? na je, wataendelea kutoa msaada kwa Tanzania baada ya 2024?

Au je, wameona tunatumbua tena fedha zao ambazo kuna kipindi zilikuwa zikitumika ipasavyo?

Haya ni masuali ambayo yanapaswa kujibiwa na waziri mhusika wa mambo ya nje balozi Mulamula na maelezo hata ya alert tu kuwa Denmark kufunga ubalozi wao ulodumu nchini Tanzania tangu mwaka 1963.

Lakini cha msingi kwa sasa ningependa kushauri kwamba hili ni jambo la dharura, kuwa mdau wetu mkubwa wa maendeleo Denmark anafunga ubalozi wake ifikapo 2024.

Hivyo Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingechukua hatua za kuitisha kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa Denmark na kwamba ni hatua zipi zitafuatwa kujaribu kutafuta kama Denmark inaweza kubadili msimamo wake huko mbele wa kuisaidia Tanzania kupitia njia zingine.

Waziri wa mambo ya nje anapaswa kutoa taarifa rasmi ya serikali bungeni kuelezea uamuzi huo wa Denmark.
Tanzania ilipata uhuru wake 1961!
 
Kama wanafunga wafunge tu. Wale wanaofaidi na fedha zao ndio mnalia. Misaada yao utaona haina tija kwa maendeleo ya kiuchumi ya mwananchi. Sana inatoa ajira za wababaishaji kwenye siasa na ustawi wa jamii. Kila siku watajidai eti wako kuinua demokrasia na haki za binadamu eti havipo ili wale hela za denmark. Bora wafunge ubalozi wakajipange upya. Tanzania inahitaji maendeleo ya kiuchumi kwa umma wa watu wake sio vikundi vya wapiga porojo na wachonganishi kwa hela za wafadhili.
 
Earlier on:

8 Jun 2021

# EXCLUSIVE: Four Nordic ambassadors to Tanzania talk about the economy, politics, and Covid-19

Nordic ambassadors to Tanzania; from left: Riitta Swan (Finland), Anders Sjoberg (Sweden), Elisabeth Jacobsen (Norway), Mette Norgaard Dissing Spandet (Denmark) in dialogue with The Citizen’s Managing Editor, Mpoki Thomson. PHOTOS | EDWIN SHAYO
Mwananchi Digital
Question: Tanzania and the Nordic countries have long term historical ties. What would you say cements the cordial relation between the two sides?

Answer: We have very long historic relations and they have also been very friendly and characterised by a mutual understanding, trust and confidence. I think the key word is trust and being able to build up a very good relationship.

We also have had wide cooperation, working with all stakeholders in the society like the government, private sector, civil society and academia, and we have done this in a very holistic way.

Q: The first ever Business Climate Survey for Nordic Companies in Tanzania 2019 viewed the Tanzanian business environment to consist of largely unfavourable terms; what are some of the issues you want addressed by the current government to improve business relations?

A: As ambassadors, particularly of Nordic embassies, we try to engage with the business community. We have a wide variety of business represented for different countries and we try to engage with them to create platforms so that business people can also meet with government representatives to exchange ideas, so we had such an exchange way back in 2018 and the business community identified a wide range of topics they saw to be challenging. READ MORE : EXCLUSIVE: Tanzania’s relations with Nordic countries put into perspective

25 May 2021
Ikulu, Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Hussein Mwinyi akutana na mabalozi wa nchi za Nordic source: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiagana na Ujumbe wa Mabalozi kutoka Nchi za Nordic ikiwemo Denmark,Finland, Norway na Sweden. | Presidents Office Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiagana na Ujumbe wa Mabalozi kutoka Nchi za Nordic ikiwemo Denmark,Finland, Norway na Sweden walipofika Ikulu jijini Zanzibar baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo

Rais Dr. Hussein Mwinyi awaeleza mabalozi juu ya mkwamo wa kisiasa Zanzibar na kusema mojawapo ya sababu hiyo ni suala la kiuchumi na hivyo mahusiano ya mazuri muda mrefu baina ya nchi hizo na Zanzibar yanaweza kupanuliwa zaidi kwa kuingiza masuala ya kiuchumi ili kusaidia kupunguza malalamiko ya kisiasa Zanzibar.
 
Unakumbuka baada ya Prof assad kufurushwa na serikali ya Tanzania hawa ndo walimwajiri kwaajili ya ukaguzi wafedha zao zoote zamiradi wanazo Toa kwa serikali ya Tanzania, hebu tuendelee kusubiria
 
Back
Top Bottom