Bunge likutane haraka kuondoa ukomo wa mgombea Urais Tanzania

Natamani iwe keshoo 😛 😛 😛 😛
 
Bila JPM hatunw kiongozi ndani yabccm..alisikika mlevi aliyeshiba ulanzi
UMESEMA KWELI KABISA, WENZETU CHINA NA URUSI WALITUTANGULIA NA SASA WANAPAA KIMAENDELEO. [emoji1241]
 
UMESEMA KWELI KABISA, WENZETU CHINA NA URUSI WALITUTANGULIA NA SASA WANAPAA KIMAENDELEO. [emoji1241]
Lakini kule mafisadi hawana nafasi,CAG wao yuko huru anafanya Kazi nzuri Sana.Hakuna matumizi mabaya ya Kodi za wananchi kununua v8,kuhonga wapinzani, kuwekeza kwenye miradi isiyo na tija kwa wananchi bali kutafutia sifa
 
Tume huru kwaajili ya nini? Hii iliyopo ina tatizo gani? Au kuna shida yoyote kwenye hii tume tuliyonayo??
 
Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…