Wenzako huyu jamaa yao ndiye ALLAHHaya OK....tunasahau kumtanguliza ALLAH
Wenzako huyu jamaa yao ndiye ALLAHHaya OK....tunasahau kumtanguliza ALLAH
Ukinywa mipombe michafu halafu ukalala na njaa lazima asubuhi uamke na mawazo ya kuzimu tu.Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike na Wapinzani wote.
Wewe ni muislamu?Ninafuraha sana ,hakuna mtu amepinga ndani ya JF na kuweza kutoa sababu ambazo zinaweza kushawishi,wengi wa wachangiaji inaonesha ni mashabiki wa mambo ya siasa.
Mnajua Manabii na mitume walipata shida sana,itakuja kuwa Mheshimiwa magufuli ?? Hawa wanobeza hizi juhudi za chinikwachini kulishawishi bunge lifanye maamuzi haya magumu ,ni wanufaika wa awamu zilizopita kwa njia za mkato.
Kama mliwahi kuita bunge dhaifu ,raisi dhaifu basi sasa kauli yenu hio imearudia nyinyi ndio madhaifu,mlitegemea Magufuli atakuwa iba tajame ? Kama kifaa basi Tanzania imepata kifaa na sasa nikupelekwa hoja bungeni awe Raisi wa maisha hapa Tanzania,waTanzania wanyonge walio wengi wamemuelewa .yale manyanyaso ya zamani yamepungua na yanaendelea kuondoka kadili siku zinavyosonga ,Raisi tumepata afuweni ya maisha je akiwa Mfalme ?
HANA Adabu😁😁😁😁😁😁Tupa Kule, Kanyagakanyaga
Kanyagakanyaga HANA Adabu,chali cha mende!
Spika Ndugai alishasema kwenye bunge lilopita sasa tusubiri utekelezaji tu.Kabisa wakutane haraka sana na tutamlazimisha atake hasitake.
hata kwa viboko 😂😂😂Kabisa wakutane haraka sana na tutamlazimisha atake hasitake.
Mkuu mbona umebadirisha mtazamo juu ya raisi Magufuli
Wewe ulikua mpinzani kindaki ndaki humu
What happened ? ?
Siku ukipata rais bogus sijui utafanyaje?Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike na Wapinzani wote.
Hii sio siri. Ndugai alishasema hili litafanyika baada ya uchaguzi. Hata wizi wa kura wa kufuru uliofanyika ulikuwa in mwendelezo wa mpango huu!Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike na Wapinzani wote.
Tatizo la wengi wamemshambulia mleta mada badala ya kujadili mada yenyewe.
Tumpe nafasi afunguke zaidi ili tupate kiini cha hii hoja.
Shocker , ni nini kiini cha hii hoja yako..utawala uliopo umefanya nini cha kufanya kufikiri kuondoa ukomo wa kutawala!?
It is very possible that you have seen the marks on the wall. Preparations have been on for long time since the 2019 civic elections. Uchafuzi wa 28/10 ulikuwa mojawapo ya mapito kuelekea urais wa "Myaya". Let's wait to see.Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike na Wapinzani wote.
Kwanini wasikutane haraka kuondoa ukomo wa kuishi.waondoe kifo?Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike na Wapinzani wote.
Unaamini? Shs.50m kila kijiji? Uchaguzi huru na haki wa serikali za mitaa? Uchaguzi huru na haki wa 28/10? Sala na maombi vimeyeyusha Corona? Bado unaendelea kuamini tu?Mwenyewe alishasema hataongeza hata dakika, wewe unasema aongezewe.
Mwenyewe alishasema hataongeza hata dakika, wewe unasema aongezewe.
Ndipo pale inaposemwa wenye wivu wajinyonge,mnatoka povu aafu povu lenyewe la kangara,sasa maneno yasio na heshima ya nini ? Nyie watu wa ajabu yaani aondoke yeye mbaki nyie mnaojua kutunga matusi mitandaoni.
Mi nakumbuka tuliomba sana tupate kiongozi mchapa kazi asieogopa na anaeweza kupambana asiemuonea haya mtu ,anampa mtu makavu mbele ya kadamnasi,umeona yule waziri aliekuwa hajui kuunganisha herufi , kilio kimesikika mbinguni na tumeletewa kiongozi anaeongoza watu na kuwasimamia ,nchi sasa inasimamiwa vizuri mno kuliko tulivyozoea.
Bunge la serikali kwa vile lipo na asilimia kubwa ni wachama cha Magufuli na hawatashindwa wacha kuondoa ukomo hata wakiamua sasa hivi nchi iwe na Mfalme ,linapita kwa asilimia miamoja.
Mbona Lesotho wana Mfalme na hatusikii haya makelele ya upinzani pinzani,hili nalo neno tulifikirie ,Sasa Mheshimiwa Magufuli ni Mfalme mtarajiwa,hivi la ajabu litakuwa lipi ? Lesotho haipo mbali ni mfano hai,haya ya kuwa na vyama vya wapinzani wengine wanapika pilau,wengine wanachemsha bata wengine wanapandisha tanga wengine wanavaa makoti kama madaktari wa wanyama pori. Ni balaa tu.
Na nchi yetu ilivyo tajiri chini ya Mfalme Magufuli tutaondoka hapa tulipo na kupiga hatua za mwendo kasi kuelekea maendeleo kamili kwa kila mwananchi,mpaka asie na kazi atalipwa.
Twafa, tutapigwa hadi kodi ya kuzaa watoto👊 again?❌
Jiwe for life✅