Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Wewe ni CDM unashauri bunge lenye wabunge 99% kutoka upande unaotawala, na TAL alipokuwepo hapo TZ ulikuwa unapenda sana kuwa unasimama karibu naye huku ukipiga makofi. Hii tabia ni uzabinazabina. Wakutane kwa lipi wakati uchaguzi tayari ulishafanyika ukomo wa nini, umekata tamaa kupiga debe upande wa pili? There shall be no term limit for presidency in Tanzania, do not hitch on a few individuals opinions jwhich motive and intent are marred with personal interests hideout shield.Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike na wapinzani wote.
Usipigane na ukuta utaumia mwenyewe kwa hasira za mkisi.