ighaghe
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,367
- 3,304
Taratibu zifuatwe.Kwa hiyo tufanyaje😁
Taratibu zifuatwe.Kwa hiyo tufanyaje😁
Stay tuned mama D Utaikumbuka hii few days to comeKha! Binadamu mna nongwa kweli
Angekubali yangekua maneno..... Sasa amekataa ndio kubali yake🙄🙄
Limfanye mfalme kabisa na bunge livunjwe kila kitu kiendeshwe kwa neno la mfalme mtukufu.Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike na Wapinzani wote.
Sawa mkuu tumekusoma weka namba zako za simu kuna nafasi ya ukuu wa wilaya Ipo waziNi wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike na Wapinzani wote.
Na ikawe heriStay tuned mama D Utaikumbuka hii few days to come
Mwenyewe alishasema hataongeza hata dakika, wewe unasema aongezewe.
You are not reading between the lines.Mkuu mbona umebadirisha mtazamo juu ya raisi Magufuli
Wewe ulikua mpinzani kindaki ndaki humu
What happened ? ?
Wewe hutaki ubwabwa.Baada ya kuondoa ukomo halafu ashinde mzee Rungwe inabidi bunge likutane haraka Tena kurudisha ukomo.
Dah mtoa mada sijui kafikiria nini wakati mkuu mwenyewe alishasema hatoongeza mda, wazo lake liheshimiwe lakini.Tatizo la kunywa mataputapu halafu unaingia jamiiforums, huu upuuzi ondoa haraka
Allah huko Saudia au Israel kaweka term limit?!Haya OK....tunasahau kumtanguliza ALLAH
Kuondoa term limit hakumlazimishi yeye, wala si kwa lengo la yeye kugombea 2025. Ni swala la kuheshimu matakwa ya demokrasia. Kuwapa nafasi wananchi kuchagua kiongozi wanayemtaka bila kujali kawaongoza miaka mingapi.Dah mtoa mada sijui kafikiria nini wakati mkuu mwenyewe alishasema hatoongeza mda, wazo lake liheshimiwe lakini.
Na huyo aliyepachika term limit kwenye katiba yeye alitawala miaka 25, did you know that?!Ni Lazima Tuheshimu Katiba No Matter What Guys...!!!!
Aksante DC wa kisaraweNdipo pale inaposemwa wenye wivu wajinyonge,mnatoka povu aafu povu lenyewe la kangara,sasa maneno yasio na heshima ya nini ? Nyie watu wa ajabu yaani aondoke yeye mbaki nyie mnaojua kutunga matusi mitandaoni.
Mi nakumbuka tuliomba sana tupate kiongozi mchapa kazi asieogopa na anaeweza kupambana asiemuonea haya mtu ,anampa mtu makavu mbele ya kadamnasi,umeona yule waziri aliekuwa hajui kuunganisha herufi , kilio kimesikika mbinguni na tumeletewa kiongozi anaeongoza watu na kuwasimamia ,nchi sasa inasimamiwa vizuri mno kuliko tulivyozoea.
Bunge la serikali kwa vile lipo na asilimia kubwa ni wachama cha Magufuli na hawatashindwa wacha kuondoa ukomo hata wakiamua sasa hivi nchi iwe na Mfalme ,linapita kwa asilimia miamoja.
Mbona Lesotho wana Mfalme na hatusikii haya makelele ya upinzani pinzani,hili nalo neno tulifikirie ,Sasa Mheshimiwa Magufuli ni Mfalme mtarajiwa,hivi la ajabu litakuwa lipi ? Lesotho haipo mbali ni mfano hai,haya ya kuwa na vyama vya wapinzani wengine wanapika pilau,wengine wanachemsha bata wengine wanapandisha tanga wengine wanavaa makoti kama madaktari wa wanyama pori. Ni balaa tu.
Na nchi yetu ilivyo tajiri chini ya Mfalme Magufuli tutaondoka hapa tulipo na kupiga hatua za mwendo kasi kuelekea maendeleo kamili kwa kila mwananchi,mpaka asie na kazi atalipwa.
Magufuli atawale hadi siku atakapokata motoNi wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike na Wapinzani wote.
Magufuli aongezewe miaka 100Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike na Wapinzani wote.
Magufuli apewe miaka mingine 100Uzi wa kipuuzi! Unajua unaongea nini? JPM 2025 tunamuaga kwa heshima zote