Bunge likutane haraka kuondoa ukomo wa mgombea Urais Tanzania

Labda bunge la wapi la hapa hapa Tanzania,,, thubutu
 
Hata shetani hakosi wafuasi , aliyeshindwa kuajiri , kupandisha madaraja , mishahara , kulipa wastaafu ,aliyeshindwa kupandisha thamani ya shilingi , aliyeshindwa kuboresha biashara , uchumi ,uwekezaji , aliyeongeza umaskini kwa miaka mitano ,hajui anapotoka wala anapoenda we kilaxa ndio unasema aongezwe miaka ili aimalizie nchi kabisa .
 
Msng ww
 
Vipi mheshimiwa akabadilika tena na akawa na msimamo wa kuendelea ?
Naamini anasimamia kauli zake kwani amejipambanua katika hilo,

Nami nimevutiwa naye kutokana na kuwa ni mtu wa misimamo na ni mchapakazi, hana maneno mengi.

Mimi pia huwa napenda kusimamia ninachokiamini na huwa sipendi kubadilika badilika.

Naamini katika misingi tuliyojiwekea kama taifa, na moja wapo ni kuwa kwa nafasi ya Urais tuna terms mbili zisizozidi ten years.

Binafsi sioni kama ni sawa kukiuka misingi hii ya kitaifa, na kwa imani yangu naona sio sahihi kuishabikia, sitaishabikia.

Naamini wanaosema Rais aongeze muda wanataka kuharibu legacy yake.

Namshauri Rais asiingie katika huo mtego ataharibu mambo mengi sana mazuri ambayo kayafanya tayari.

Kwa Sasa ,Abakie tu kututengenezea mifumo mizuri ili anayoyafanya sasa yaendelee kubakia na kuonekana kwa muda mrefu ujao.

I wish him well in his next five more years.

Happy New Year.
 
Mataga wa Lumumba ni empty head tabulalasa , mtu aliyekuwa analalamika hakuna kazi ngumu sana kama urais , leo huyohuyo anawatuma mje kumpigia debe aongeze muda?
 
Mkuu kama wakubwa wa Intelijensia ndio wanataka iongezwe mihula na pia mahsusi wakimkusudia yeye(JPM ndio aongeze aendelee kutawala) ?
 
Yaani nchi hii ina watu wapuùûzi kuwahi kutokea.. sijui ni elimu ndogo ama vipi.. jitu linaleta ujinga wa meko aongezewe muda.. kmmq
 
Unataka kuuwa demokrasia kwa upambe wako.
Haya mawazo yako yafe haraka
 
Mnaandaa mazingira ya kupinduliwa kabla ya 2025, na mnavotutelekeza tukistaafu, generals, lt.gen, meja gn, commandos, brigds, kanals, thubutu na vimbwa vyenu hivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…