Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 384
- 970
Ndugai pamoja na ujinga wake lakini asingeruhusu huu upumbavuBunge limeitisha maoni ya wananchi kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria za rasilimali asilia. Lengo la kuitisha maoni kwa ajili ya muswada huo ni kutaka kuzibadili sheria zetu za nchi ziendane na matakwa ya Mkataba wa Bandari na Waarabu wanavyotaka. Hivi tunaelekea wapi?
Bongo hayawezi tokea, rais wa kwanza alicheza kama pele huku akitetema kama mayele leo hii matokeo ndio haya na bahati nzuri alikuja kukuri kwa kusema kwa katiba hii akitokea rais mwendawazimu atajifanya Mungu mtu.Mambo ya hovyo yanayofanyika kwenye awamu hii,Inafika muda unatamani yanayotokea niger yatokee na hapa kwetu ili kuwadhibiti hawa mchwa.
Bahati mbaya hatuna Captain Ibrahim TraoreMambo ya hovyo yanayofanyika kwenye awamu hii,Inafika muda unatamani yanayotokea niger yatokee na hapa kwetu ili kuwadhibiti hawa mchwa.
Aliwahi kukataa sheria gani?Ndugai pamoja na ujinga wake lakini asingeruhusu huu upumbavu
Kilichomtoa kwenye uSpika nini?Aliwahi kukataa sheria gani?
ANgefanya nini kama takwa ni la Rais mwenyewe?Ndugai pamoja na ujinga wake lakini asingeruhusu huu upumbavu
Angalau angeweza hata kushauri, yule ajuza yeye hajui hata anafanya nini bungeni yeye analinda maslahi ake binafsiANgefanya nini kama takwa ni la Rais mwenyewe?
Hili dubwana ni la Rais, nguvu aliyonayo kichama na kimamlaka ndiyo inapelekea walio chini kumtetema mda wote.Angalau angeweza hata kushauri, yule ajuza yeye hajui hata anafanya nini bungeni yeye analinda maslahi ake binafsi