Bunge limeitisha maoni ya wananchi kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria za rasilimali asilia

Bunge limeitisha maoni ya wananchi kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria za rasilimali asilia

Yaani sheria za nchi zifuate matakwa ya mkataba au matakwa ya mkataba ndio yafuate sheria zetu, au mimi ndio sielewi.
Sawa nimekusikia: hapo wanachofanya wana-force KING yaani iwe mvua iwe jua iwe kwa ngumi iwe kwa nini lazima DPii Wedi achukue Bandari pigeni kelele weeee Ila wao washaambua hamtaki kalaleni barabarani
 
Kumekucha kweli kweli. Ati maoni ya wananchi kukubali kutawaliwa!

Rushwa bado ni adui mkubwa sana hapa Tanzania, manake inakuwa vigumu kuelewa umalaya malaya wa aina hii, yani nchi hii inahitaji mapinduzi ya kweli na ya haraka! Kuna mambo hayakubaliki kabisaaa.
Niulize tu kama wengi waliouliza awali yangu mimi.

Tulipata Uhuru ili Tufanye haya madudu?

Tuchague kwa Umakini sana 2025.


CCM must Go!
 
Bunge limeitisha maoni ya wananchi kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria za rasilimali asilia.

Lengo la kuitisha maoni kwa ajili ya muswada huo ni kutaka kuzibadili sheria zetu za nchi ziendane na matakwa ya Mkataba wa Bandari na Waarabu wanavyotaka. Hivi tunaelekea wapi?

View attachment 2712000View attachment 2712001
maCCM yameamua kuuza nchi jumla kwa waarabu. Inauma sana. CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority looters and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few looters whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except looters themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
 
Yaani wameweka ghorofa ya 5 ili sisi watembea kwa miguu tushindwe kufika ..

CCM tutaftieni mtu mzalendo 2025
 
Sheria ilishavunjwa....kuibadili sio dawa yake. Na uzuri, kama watu wameikataa, ipo siku na sio siku nyingi, mkataba utakataliwa pia
 
Back
Top Bottom