Nashindwa kuwaelewa ambao huwa wanaamini CCM kuanguka kwa kupitia kura za box,Ni ukweli kwamba wananchi kwa asilimia kubwa washaichoka CCM Lakini kutokana na historia ya mfumo wa nchi yetu hakuna Rais atakayekuwa madarakani akakubali CCM idondoke na akiwa upande wa pili ni M/kiti wa CCM kisiasa na vyombo vyote vipo tayari kutii agizo la mwenye nchi yaani Rais, Tanzania wananchi hawachagui Rais wa nchi hili swala watu ni Kama hawalijui ndo Mana zitto aliamua kuchagua kuwa CCM aliyejificha upinzani.