Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hawapo ajili ya maslahi mapana ya nchi wapo hapo kulinda maslahi yao binafsiHili dubwana ni la Rais, nguvu aliyonayo kichama na kimamlaka ndiyo inapelekea walio chini kumtetema mda wote.
Sawa nimekusikia: hapo wanachofanya wana-force KING yaani iwe mvua iwe jua iwe kwa ngumi iwe kwa nini lazima DPii Wedi achukue Bandari pigeni kelele weeee Ila wao washaambua hamtaki kalaleni barabaraniYaani sheria za nchi zifuate matakwa ya mkataba au matakwa ya mkataba ndio yafuate sheria zetu, au mimi ndio sielewi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugai anisamehe sana[emoji1545]
Uafrika hasa utanzania ni laana.Waafrika ndio viumbe wenye upeo mdogo wa kifikra kuliko wanadamu wengine.
maCCM yameamua kuuza nchi jumla kwa waarabu. Inauma sana. CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.Bunge limeitisha maoni ya wananchi kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria za rasilimali asilia.
Lengo la kuitisha maoni kwa ajili ya muswada huo ni kutaka kuzibadili sheria zetu za nchi ziendane na matakwa ya Mkataba wa Bandari na Waarabu wanavyotaka. Hivi tunaelekea wapi?
View attachment 2712000View attachment 2712001
Lengo gani hilo ambalo limekufurahisha kiasi hicho?Lengo ni zuri, swali je Kwa nini ni sasahiv?
Kuna mijitu humu mipumbavu sana. Mambo muhimu ya Nchi yanaingiza mambo ya Chedema. Hovyo kabisa.Chadema imeingiaje humo, na ishu ya kufukuza wabunge imetoka wapi?
Ni mjinga huyo Akili za kuku badala ya kuchanganya hoja anaingiza cdmChadema imeingiaje humo, na ishu ya kufukuza wabunge imetoka wapi?