Bunge limeitisha maoni ya wananchi kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria za rasilimali asilia

Kama hizi sheria haziruhusu Bandari kupata mwekezaji Zina Msaada gani Sasa kama zinakumbatia ujinga?

Wakati wanazitunga hawakuyajua haya?
 
FAKE NEWS, ipo haja ya serikali kushughulika na wazushi wa mitandaoni wanachelewesha maendeleo na wanaleta taharuki isiyo na sababu.
 
Hapakua na sababu ya muendelezo ya huu mkakati wa kuipa dubai bandari zetu. Sisi tunajua sheria ilivunjwa kusaini waziri mbarawa ule mkataba kisha bunge kuridhia kinyume na sheria. Kutaka kubadili sheria ni kuonyesha jinsi nchi sasa ina fisafi wajasiri. Watu wako tayari kuuza nchi kwa fedha.
 
Maendeleo kwanza, hongereni bunge tukufu la jamhuri ya muungano wa Tanzania!!
 
sheria mahususi ya kupindisha sheria ya utunzaji wa rasilimali za tanzania ili kuipa nafasi mkataba wa dpw kushitakiwa nje ya nchi hiyo, haya bandari imeenda na sheria ya kubariki kuondoka kwa bandari hiyooo,

mama anaupiga mwingi, twende tumechelewa mzanzibari,
 
Chadema imeingiaje humo, na ishu ya kufukuza wabunge imetoka wapi?
Nashindwa kuwaelewa ambao huwa wanaamini CCM kuanguka kwa kupitia kura za box,Ni ukweli kwamba wananchi kwa asilimia kubwa washaichoka CCM Lakini kutokana na historia ya mfumo wa nchi yetu hakuna Rais atakayekuwa madarakani akakubali CCM idondoke na akiwa upande wa pili ni M/kiti wa CCM kisiasa na vyombo vyote vipo tayari kutii agizo la mwenye nchi yaani Rais, Tanzania wananchi hawachagui Rais wa nchi hili swala watu ni Kama hawalijui ndo Mana zitto aliamua kuchagua kuwa CCM aliyejificha upinzani.
 
Mambo ya hovyo yanayofanyika kwenye awamu hii,Inafika muda unatamani yanayotokea niger yatokee na hapa kwetu ili kuwadhibiti hawa mchwa.
Jeshi lote unalolijua na vyombo vinginevyo vya usalama vinatii amri ya Mkuu wa majeshi na pia ni makada wa CCM wote kwa mfumo wa nchi ulivyoongozwa na CCM toka itawale,hivyo sahauni Tanzania kutokea mapinduzi ya kijeshi hata mbingu inapinduka.
 
Nashindwa kuwaelewa ambao huwa wanaamini CCM kuanguka kwa kupitia kura za box,Ni ukweli kwamba wananchi kwa asilimia kubwa washaichoka CCM Lakini kutokana na historia ya mfumo wa nchi yetu hakuna Rais atakayekuwa madarakani akakubali CCM idondoke na akiwa upande wa pili ni M/kiti wa CCM kisiasa na vyombo vyote vipo tayari kutii agizo la mwenye nchi yaani Rais, Tanzania wananchi hawachagui Rais wa nchi hili swala watu ni Kama hawalijui ndo Mana zitto aliamua kuchagua kuwa CCM aliyejificha upinzani.
 
Hivi ukiwa CCM akili zinaondoka kabisa?

Bi.Ushungi kadhamiria kugawa nchi kwa wajomba zake

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…