Bunge limeitisha maoni ya wananchi kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria za rasilimali asilia

Kwamba muswada huu kuletwa mjengoni,

Imethibitika kuwa Mkataba wa DP world ni MBOVU!!!

Asante 2023.
 
Hiyo inamaanisha yale yote yaliyosambazwaa na maaskofu na mapadri ya bandari "kuuzwa" ni uongo mtupu.

Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…