Bunge Live Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu

Bunge Live Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu

Hahaha kumbe kuna bunge?

Mzee wa spinning hii imefeli , dead on arrival!

Hii ndio thread ya kwanza naion hapa kwenye feeds kuhusu bunge.

Habari ya mjini ni KISUTU , hao wachumia tumbo wa Dodoma acha wamalizie kipindi kifupi kilichobaki maana waliingia kwa mfumo huu huu mbovu tunaoupigia kelele.

NO REFORMS NO ELECTION.

4R ilikuwa ni utapeli wa kiunguja.

May JUSTICE be our SHIELD and DEFENDER
 
🤣🤣🤣 Spinning ..dead on arrival. Precisely, Poor Paschal Manjaa.
 
Oya msakatonge nimekuambia mara NYINGI MNO hapo HAKUNA bunge n kikao cha fisiem TU.
KAZI ni kipimo cha
 
Back
Top Bottom