Bunge Live Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu

Bunge Live Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu

Watu 145 kati ya wananchi milioni 60.
Basi sawa.
 

Attachments

  • Screenshot_20250424-115604.jpg
    Screenshot_20250424-115604.jpg
    70.3 KB · Views: 19
Yani nipoteze muda na mb's zangu kutazama takataka za kijani?!
Never
Usipofwatilia unakua umemkomoa nani?,utakua umejikomoa mwenyewe tu kwasababu wenzako bado mambo yao yataenda kama kawaida na watalipwa,shida itakuja kwako pale ambapo kuna jambo ambalo litapitishwa bila wewe kulijua na unakuja kukutana nalo kwenye utekelezaji.sana sana utaishia kutukana na kulalamika mitandaoni.Kukimbia kufwatilia mambo ndiko kulikofikisha nchi hapa tuliko kwasababu wananchi hawajui mambo mengi na watawala wanaamua kujifanyia wanavyotaka.
 
Back
Top Bottom