Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Sasa swali la kwanza tu la Mbunge wa Nkasi kaskazini ameshindwa kulijibu, kuna haja gani ya kufuatilia hili Bunge?Wanabodi
Naangalia Bunge Live kupitia TBC Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu- Watch
View: https://www.youtube.com/live/Q2K-fa_9lmQ?si=Y9V-RXLXorXsgR5PPaskali
Yani nipoteze muda na mb's zangu kutazama takataka za kijani?!Wanabodi
Naangalia Bunge Live kupitia TBC Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu- Watch
View: https://www.youtube.com/live/Q2K-fa_9lmQ?si=Y9V-RXLXorXsgR5PPaskali
Majibu atayapata hapa kwa aibu kwenye hii thread aliyoanzisha!Hivi Kuna watu wanafatilia Bunge?
Hamna mtu anayejitambua anafuatilia bunge kibogoyo. Labda huko vijijini.Wanabodi
Naangalia Bunge Live kupitia TBC Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu- Watch
View: https://www.youtube.com/live/Q2K-fa_9lmQ?si=Y9V-RXLXorXsgR5PPaskali
Pm naona umehamishia mpira uwanja mwengine huku masikio yakiwa upande mwengine wa uwanjaWanabodi
Naangalia Bunge Live kupitia TBC Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu- Watch
View: https://www.youtube.com/live/Q2K-fa_9lmQ?si=Y9V-RXLXorXsgR5PPaskali
🤣🤣🤣 Spinning ..dead on arrival. Precisely, Poor Paschal Manjaa.Hahaha kumbe kuna bunge?
Mzee wa spinning hii imefeli , dead on arrival!
Hii ndio thread ya kwanza naion hapa kwenye feeds kuhusu bunge.
Habari ya mjini ni KISUTU , hao wachumia tumbo wa Dodoma acha wamalizie kipindi kifupi kilichobaki maana waliingia kwa mfumo huu huu mbovu tunaoupigia kelele.
NO REFORMS NO ELECTION.
4R ilikuwa ni utapeli wa kiunguja.
May JUSTICE be our SHIELD and DEFENDER
Kaka utakuwa TAPERI. Nani kweli anafatiria hilo dude la vibwengo?Wanabodi
Naangalia Bunge Live kupitia TBC Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu- Watch
View: https://www.youtube.com/live/Q2K-fa_9lmQ?si=Y9V-RXLXorXsgR5PPaskali
Huyu kuna SIKU ntamvizia mahali huwa anaakaa ... Ntamzaba kibao kimoja matata pumbavu zake.🤣🤣🤣 Spinning ..dead on arrival. Precisely, Poor Paschal Manjaa.
UNAPATA WAPI MUDA WA KUANGALIA MISUKULE?? INAHITAJI MOYOWanabodi