Usipofwatilia unakua umemkomoa nani?,utakua umejikomoa mwenyewe tu kwasababu wenzako bado mambo yao yataenda kama kawaida na watalipwa,shida itakuja kwako pale ambapo kuna jambo ambalo litapitishwa bila wewe kulijua na unakuja kukutana nalo kwenye utekelezaji.sana sana utaishia kutukana na kulalamika mitandaoni.Kukimbia kufwatilia mambo ndiko kulikofikisha nchi hapa tuliko kwasababu wananchi hawajui mambo mengi na watawala wanaamua kujifanyia wanavyotaka.