K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 7,823 Reaction score 10,857 Jun 7, 2023 #1 Kunatafutwa namna ya kusema wananchi waliunga mkono. Wananchi wana ambiwa watoe mawazo kuhusu ubinafishaji bila kuweka wazi mkataba sasa mawazo yao hasa ni ya nini?
Kunatafutwa namna ya kusema wananchi waliunga mkono. Wananchi wana ambiwa watoe mawazo kuhusu ubinafishaji bila kuweka wazi mkataba sasa mawazo yao hasa ni ya nini?
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 6,814 Reaction score 10,104 Jun 7, 2023 #2 Wachumia tumbo hawajali wakata nyasi
B Barbiedoll JF-Expert Member Joined Apr 7, 2023 Posts 772 Reaction score 2,150 Jun 7, 2023 #3 Hapa tulipofika tusubiri tu siku ya kumlaki mwanakondoo mawinguni Hakuna namna,