Bunge mnataka Wananchi watoe Maoni kuhusu Bandari kwa Mkataba upi? Kwanini unakuwa siri?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kunatafutwa namna ya kusema wananchi waliunga mkono.

Wananchi wana ambiwa watoe mawazo kuhusu ubinafishaji bila kuweka wazi mkataba sasa mawazo yao hasa ni ya nini?
 
Hapa tulipofika tusubiri tu siku ya kumlaki mwanakondoo mawinguni
Hakuna namna,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…