johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwani mnafikiri hata hao wazikaji wa serikali hawaogopi COVID 19?Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa " popote " siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Anamweleza nani sasa, asubiri na yeye kuzikwa Usiku Ununio....Otherwise arudi Kongwa, haoni mwenzake keshajitanguliza Kwao miezi miwili sasa!Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa " popote " siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Nimekuelewa bwashee!Kwani mnafikiri hata hao wazikaji wa serikali hawaogopi COVID 19?
Minimum contact na dead body ndiyo njia sahihi.
Sasa wataka mzikaji wa serikali aende na mwili kilometa 1000 atapona kweli?
Walifikiri vifo vya corona vitaenda Kwa wapinzani pekeeAt least tunaongea lugha moja sasa,,
Mungu ni mwema wakati wote,,
... naam; maandishi ukutani yameanza kueleweka maana mfalme kwa mbaali anaanza kuzinduka katika ulevi wake!chukizo la uharibifu limegusa bungeni akili zimeanza kurejea sasa?
Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa " popote " siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
... katuchanganya kapu moja! Hakuna cha India, SA, wala Ujerumani! Wote humu humu! Kweli ukiwa kwenye nafasi pigania huduma za umma (hospitals, magereza, n.k.) ziboreshwe maana kesho haijulikani!Hakika MUNGU ni fundi mno maana anajua jinsi ya kuwabana hawa viongozi mpaka wanaomba poooo!!!!
Bora waendelee kufa kilasiku ili takwimu zitolewe