Bunge: Mtu aliyefariki kuzikwa “popote" siyo utamaduni wa kiafrika

Bunge: Mtu aliyefariki kuzikwa “popote" siyo utamaduni wa kiafrika

Anamweleza nani sasa, asubiri na yeye kuzikwa Usiku Ununio....Otherwise arudi Kongwa, haoni mwenzake keshajitanguliza Kwao miezi miwili sasa!

Huuuuiiii mbavu zangu mimi jamani.hahahahahaa....! Khaaaa Jf ni kiboko aisee! Hahahahaa
 
Hawa mbwa ni wabinafsi sana. Yaani huyu ndugai huyu ana laana kabisa. What is so special na wabunge? Waliozikwa hawana thamani ila huyo mbunge?
Kwa vifo hivi vya corona na maradhi yanayofanana na hayo, ni hatari sana kuyasafirisha mahala pengine. Heri maiti yatokanayo na maradhi husika yasitiriwe mahala popote. Utamaduni utatuponza. Utasambaza maradhi mahala salama. Ndugu sitiri hasira ni hasara.
 
Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.

Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai

Source ITV habari

My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Hivi Mila za kiafrika zinatumika kwa Wakubwa tu!?? Mazishi mengine hata picha marufuku kupiga!
 
Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.

Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai

Source ITV habari

My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Kuzikwa ni kuzikwa tu, baada ya muda apo ulipozikwa watu wanafanya kilimo.
Hizo gharama zingewafaa wafiwa zaidi kuliko kuonyesha ufahali.
 
Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.

Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai

Source ITV habari

My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Mnatuchanganya sasa,na ni aliyeanzisha utaratibu wa kuzika popote?Mbona hatukusikia hizi kauli alipofariki Mch.Lwakatare?Au Mchagga Mmanda?
 
Naona sasa wameona kifo kinagonga hodi kila kona
Maiti inaambukiza na wajiandae kuzikwa popote pale karibu
Mila na desturi baada ya corona, kwa sasa ni kupambana tu kama ukifa frontline unafukiwa hapohapo
Kusafirisha maiti yenye [emoji3083] ni kuendeleza ugonjwa tu
Kama ni miiko imevunjwa mingi duniani na wengine hawajawaona kabisa wapendwa wao

Kwanza hilo jengo lingegungwa kwanza kwa mda

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Sasa hiv spika anawaza akifa leo anaenda kuzikwa na watu 10 tu tena usiku. Wakati ndoto zake alijua atazikwa kitaifa na mwili ungepelekwa hata dar ukaagwa ukarudishwa dodoma ndyo ukazikwa

KWELI NDUGAI SASA ANAJARIBU KUJIWEKEA MAZINGIRA YA YEYE AKIENDA MBELE YA HAKI AWEZE KUZIKWA KONGWA NA SIO MAHALA PENGINE POPOTE!!!!
IF NDASSA WILL BE TRANSPORTED TO SUNVE FOR HIS BURIAL, BE REST ASSURED THAT ALL THE MEMBERS OF PARLIAMENT WHO WILL KICK THE BUCKED AFTER HIM WILL HAVE TO BE TRANSPORTED TO THEIR CONSTITUENCES!!!! YOU WILL HAVE CREATED A NGASSA PRECEDENT!
 
Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.

Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai

Source ITV habari

My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Atakuwa anahofu ya kuzikwa ugenini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luna jambo moja huwa sijaelewa. Hivi maiti ya MTU aliyekufa kwa corona haiwezi kuwa treated na madawa ikawa haina maambukizo ya ugonjwa huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ku treat mwili ni temporary ili kuzuia usiharibike Kwa siku kadhaa kabla ya kuzika, mfano mnataka kusafirisha. Mwili wa magonjwa hatari kama ebola, kipindupindu na hata hiyo korona haifai Ku treat sababu unahatarisha usalama kwa mhudumiaji wa maiti, hivyo Una decontaminate kabla ya kuzika na kimsingi hata kaburi linatakiwa kufanyiwa hivyo kwa usalama. Hivyo basi Ku treat mwili ni gharama kuliko Ku decontaminate.
 
Si wamekimbia kwa kukosa vifaa vya kujikinga?Naona hatujaelewana hapa ninachokisema na wew unachosema!
Mtu anapokufa kwa magonjwa ambayo ni highly infectious kama covid 19 na kuanza Kuharibika hatari huwa ni kubwa zaidi sababu virusi wanasambaa kutafuta favourable environment na hapo ndiyo kwenye hatari kubwa ya maambukizi kutoka kwenye maiti, yaani inakuwa kama biological weapons.
 
Ndio maana nikasema ziwepo bags maalum kwa kuhifadhi miili!
 
Ndio maana nikasema ziwepo bags maalum kwa kuhifadhi miili!
Umaalum wa plastic bags za maiti hau guarantee hatari ya infection kutoka kwenye mwili unapoharibika na kutegemea na nature ya organ iliyokumbwa na maambukizi, hivyo pamoja na yote utahitaji Ku treat kabla ya uhifadhi kwenye huo mfuko na hapo ndipo hatari Kwa mhudumu inapokuja.
 
Back
Top Bottom