Bunge: Mtu aliyefariki kuzikwa “popote" siyo utamaduni wa kiafrika

Bunge: Mtu aliyefariki kuzikwa “popote" siyo utamaduni wa kiafrika

Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.

Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai

Source ITV habari

My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Itabidi huko mbeleni kuhamisha mabaki ya mwili na kwenda kufanyia mazishi upya kule Rombo.
 
Kama mtu mwenye mhimili wake analalama tuu bila kutueleza anawambia nani na hatua gani anechukua juu ya hili basi kuna shida mahali

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
 
Hamna bunge pale! Huo ndiyo mchango/ushauri wao kwa serekali dhidi ya kupambana na Corona?
... yap! ndio mchango wao kwa taifa kwamba wananchi wanaokufa kwa corona wazikwe kwa kuzingatia utamaduni wa kiafrika! Tena wametoka mafichoni baada ya mmoja wao kuathirika.
 
Kwani mnafikiri hata hao wazikaji wa serikali hawaogopi COVID 19?
Minimum contact na dead body ndiyo njia sahihi.
Sasa wataka mzikaji wa serikali aende na mwili kilometa 1000 atapona kweli?
Kwani mwili si unawekwa kwenye plastic bag,shida iko wapi hapo?
 
Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.

Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai

Source ITV habari

My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Lakini Mmanda si amezikwa shambani kwake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.

Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai

Source ITV habari

My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Hawa jamaa waangalie wasije peleka ugonjwa Sumve .................!!
 
ukimchoma nguruwe mkuki unasikia raha sana!!unasema huyu nguruwe ni sugu ni nunda hata halii hadi anakufa, hakuna shida kumbe mkuki hauumi! sasa ukichomwa wewe sindano tu hata si mkuki kelele na mayowe yako vitafika hadi Kenya!!!

Marekani wameua watu dunia nzima sasa ni zamu yao kusikia uchungu wa watu wao kufa!!!

Viongozi wa Afrika waamke wakumbuke kuwatendea haki raia wao kufa siku hizi ni fasta tu unaacha benki mabilioni vijana wako wanazilewea pombe na kuzihonga!! tena si lazima ufe hosp unaweza kujifia home alone bila msaada ukafa ukijifukiza hotelini!! si haki mpiga kura kushindia ONE MEAL a day na kukosa MAJI na UMEME na huku wabunge wao kukazana kugonga meza tu fulani auwawe na huku matumbo yameshiba!

hasa huu ugonjwa mzuri mno aisee haubagui watembea kwa mguu wala watembea kwa magari!! tena wanasema ukiwa mzee na una tumbo kubwa (obesity) kisukari, HIV/Aids , high blood pressure na kansa ni hatari zaidi na rahisi zaidi kupewa lift na Ziraili aka Corona virus na kutangulia mavumbini!
 
Luna jambo moja huwa sijaelewa. Hivi maiti ya MTU aliyekufa kwa corona haiwezi kuwa treated na madawa ikawa haina maambukizo ya ugonjwa huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom