Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Huko kuna sababu tofauti,kama tunashindwa kusafirisha mwili kwa usalama basi sisi ni watu wa hovyo sana!Pamoja na kinga nzuri madaktari wengi tu wamefariki kwa kuambukizwa!
Huko kuna sababu tofauti,kama tunashindwa kusafirisha mwili kwa usalama basi sisi ni watu wa hovyo sana!Pamoja na kinga nzuri madaktari wengi tu wamefariki kwa kuambukizwa!
... Mary Ngowi? Uko pande za wapi hapo Moshi ukiichungulia Kenya kwa chini aisee?ukimchoma nguruwe mkuki unasikia raha sana!!unasema huyu nguruwe ni sugu ni nunda hata halii hadi anakufa, hakuna shida kumbe mkuki hauumi! sasa ukichomwa wewe sindano tu hata si mkuki kelele hadi Kenya!!!
...
Mkuu fika Mlonganzila uonyeshe karufundi kako kusafirisha maiti.Huko kuna sababu tofauti,kama tunashindwa kusafirisha mwili kwa usalama basi sisi ni watu wa hovyo sana!
Kwa mila za wachaga hasa warombo, hata ipite miaka 10 watafukua kaburi la Mmanda na kuzika upya Rombo kwenye kihampa chake.Haipendezi kabisa kumzika mtu mbali na kwao.
Wakamfukue Mmanda wakamzike kwao, hata kama yalikuwa maelekezo ya mtu wasiogope.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mnafikiri hata hao wazikaji wa serikali hawaogopi COVID 19?
Minimum contact na dead body ndiyo njia sahihi.
Sasa wataka mzikaji wa serikali aende na mwili kilometa 1000 atapona kweli?
Tununue plastic bags zenye ubora kwa ajili ya kuhifadhi na kusafirishia miili,tusiichie kwenye protective gear pekee!Simple tu!Mkuu fika Mlonganzila uonyeshe karufundi kako kusafirisha maiti.
Swali zuri!Luna jambo moja huwa sijaelewa. Hivi maiti ya MTU aliyekufa kwa corona haiwezi kuwa treated na madawa ikawa haina maambukizo ya ugonjwa huo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Heri uka practice kuliko kuongea bla bla!Tununue plastic bags zenye ubora kwa ajili ya kuhifadhi na kusafirishia miili,tusiichie kwenye protective gear pekee!Simple tu!
Si wamekimbia kwa kukosa vifaa vya kujikinga?Naona hatujaelewana hapa ninachokisema na wew unachosema!Heri uka practice kuliko kuongea bla bla!
Madaktari na manesi wamekimbia Amana, wagonjwa wamesepa!
Kuna maandishi gani ukutani?! Mene Mene Tekeli na Peresi?!!... naam; maandishi ukutani yameanza kueleweka maana mfalme kwa mbaali anaanza kuzinduka katika ulevi wake!
Cov 19. Si ulisikia kuna Mbunge alitest positive na sasa yuko kwenye isolation. Kwa kuwa mpaka sasa Wabunge hawajalimwa kuna kila uwezekano kuwa some of them are positive cases.Ugonjwa gani bwashee?
Kivipi manka?
Smart move. He is not a Phd holder for nothing!Hehehe ndio mzee katangulia Chuttle ili likitokea la kutokea asijezikwa kwa Wagogo au Wazaramo