Itabidi huko mbeleni kuhamisha mabaki ya mwili na kwenda kufanyia mazishi upya kule Rombo.Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
... yap! ndio mchango wao kwa taifa kwamba wananchi wanaokufa kwa corona wazikwe kwa kuzingatia utamaduni wa kiafrika! Tena wametoka mafichoni baada ya mmoja wao kuathirika.Hamna bunge pale! Huo ndiyo mchango/ushauri wao kwa serekali dhidi ya kupambana na Corona?
Kwani mwili si unawekwa kwenye plastic bag,shida iko wapi hapo?Kwani mnafikiri hata hao wazikaji wa serikali hawaogopi COVID 19?
Minimum contact na dead body ndiyo njia sahihi.
Sasa wataka mzikaji wa serikali aende na mwili kilometa 1000 atapona kweli?
... hata mimi nimejiuliza sana hilo! Na unaweza kuwa sanitized vile vile.Kwani mwili si unawekwa kwenye plastic bag,shida iko wapi hapo?
... ndio aina ya Bunge tulilo nalo Mkuu!Amesema hivyo kwa kuwa Mbunge mwenzao amefariki?
This is too selfish Bro!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Mmanda si amezikwa shambani kwake?Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Hawa jamaa waangalie wasije peleka ugonjwa Sumve .................!!Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Ugonjwa gani bwashee?Hawa jamaa waangalie wasije peleka ugonjwa Sumve .................!!
Anamweleza nani sasa, asubiri na yeye kuzikwa Usiku Ununio....Otherwise arudi Kongwa, haoni mwenzake keshajitanguliza Kwao miezi miwili sasa!
Pamoja na kinga nzuri madaktari wengi tu wamefariki kwa kuambukizwa!Kwani mwili si unawekwa kwenye plastic bag,shida iko wapi hapo?
ha ha haSubiri waandae majibu, wanakuja.