Bunge: Mtu aliyefariki kuzikwa “popote" siyo utamaduni wa kiafrika

ukimchoma nguruwe mkuki unasikia raha sana!!unasema huyu nguruwe ni sugu ni nunda hata halii hadi anakufa, hakuna shida kumbe mkuki hauumi! sasa ukichomwa wewe sindano tu hata si mkuki kelele hadi Kenya!!!
...
... Mary Ngowi? Uko pande za wapi hapo Moshi ukiichungulia Kenya kwa chini aisee?
 
Kwani mnafikiri hata hao wazikaji wa serikali hawaogopi COVID 19?
Minimum contact na dead body ndiyo njia sahihi.
Sasa wataka mzikaji wa serikali aende na mwili kilometa 1000 atapona kweli?

Mwili ukikosa uhai hata kama uliathirika kwa virus na ukahifadhiwa vizuri hauwezi kutoa chafya au kukohoa ili aambikiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ikitulia watahamisha kaburi. Kuna taratibu zake
 

Naunga mkono kabisa. Hii kuzika sehemu yoyote sio kabisa, ina maana kubwa kuzikwa nyumbani ulikozaliwa au ndugu walikochagua
 
Tununue plastic bags zenye ubora kwa ajili ya kuhifadhi na kusafirishia miili,tusiichie kwenye protective gear pekee!Simple tu!
Heri uka practice kuliko kuongea bla bla!
Madaktari na manesi wamekimbia Amana, wagonjwa wamesepa!
 
Sasa hiv spika anawaza akifa leo anaenda kuzikwa na watu 10 tu tena usiku. Wakati ndoto zake alijua atazikwa kitaifa na mwili ungepelekwa hata dar ukaagwa ukarudishwa dodoma ndyo ukazikwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…