Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Anamweleza nani sasa, asubiri na yeye kuzikwa Usiku Ununio....Otherwise arudi Kongwa, haoni mwenzake keshajitanguliza Kwao miezi miwili sasa!
Kwa vifo hivi vya corona na maradhi yanayofanana na hayo, ni hatari sana kuyasafirisha mahala pengine. Heri maiti yatokanayo na maradhi husika yasitiriwe mahala popote. Utamaduni utatuponza. Utasambaza maradhi mahala salama. Ndugu sitiri hasira ni hasara.Hawa mbwa ni wabinafsi sana. Yaani huyu ndugai huyu ana laana kabisa. What is so special na wabunge? Waliozikwa hawana thamani ila huyo mbunge?
Hivi Mila za kiafrika zinatumika kwa Wakubwa tu!?? Mazishi mengine hata picha marufuku kupiga!Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Kweli kabisa.Ndassa azikwe hapo Chamwino atapeleka Corona usukumani
Una treat maiti au unatakiwa ku treat virus?? Kama una weza kuitibu maiti why not binadamu walio hai!!hakuna tiba wala chanjoLuna jambo moja huwa sijaelewa. Hivi maiti ya MTU aliyekufa kwa corona haiwezi kuwa treated na madawa ikawa haina maambukizo ya ugonjwa huo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzikwa ni kuzikwa tu, baada ya muda apo ulipozikwa watu wanafanya kilimo.Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Mnatuchanganya sasa,na ni aliyeanzisha utaratibu wa kuzika popote?Mbona hatukusikia hizi kauli alipofariki Mch.Lwakatare?Au Mchagga Mmanda?Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Hicho kifo kinaweza kuwa a turning point ya mambo,tusubiri.Ndassa azikwe hapo Chamwino atapeleka Corona usukumani
Yani watu wanakuwa kama hawaelewi hii ni pandemic!Kwani mnafikiri hata hao wazikaji wa serikali hawaogopi COVID 19?
Minimum contact na dead body ndiyo njia sahihi.
Sasa wataka mzikaji wa serikali aende na mwili kilometa 1000 atapona kweli?
Sasa hiv spika anawaza akifa leo anaenda kuzikwa na watu 10 tu tena usiku. Wakati ndoto zake alijua atazikwa kitaifa na mwili ungepelekwa hata dar ukaagwa ukarudishwa dodoma ndyo ukazikwa
Atakuwa anahofu ya kuzikwa ugeniniBunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
[emoji1][emoji1][emoji1]....aisee.Anamweleza nani sasa, asubiri na yeye kuzikwa Usiku Ununio....Otherwise arudi Kongwa, haoni mwenzake keshajitanguliza Kwao miezi miwili sasa!
Ku treat mwili ni temporary ili kuzuia usiharibike Kwa siku kadhaa kabla ya kuzika, mfano mnataka kusafirisha. Mwili wa magonjwa hatari kama ebola, kipindupindu na hata hiyo korona haifai Ku treat sababu unahatarisha usalama kwa mhudumiaji wa maiti, hivyo Una decontaminate kabla ya kuzika na kimsingi hata kaburi linatakiwa kufanyiwa hivyo kwa usalama. Hivyo basi Ku treat mwili ni gharama kuliko Ku decontaminate.Luna jambo moja huwa sijaelewa. Hivi maiti ya MTU aliyekufa kwa corona haiwezi kuwa treated na madawa ikawa haina maambukizo ya ugonjwa huo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anapokufa kwa magonjwa ambayo ni highly infectious kama covid 19 na kuanza Kuharibika hatari huwa ni kubwa zaidi sababu virusi wanasambaa kutafuta favourable environment na hapo ndiyo kwenye hatari kubwa ya maambukizi kutoka kwenye maiti, yaani inakuwa kama biological weapons.Si wamekimbia kwa kukosa vifaa vya kujikinga?Naona hatujaelewana hapa ninachokisema na wew unachosema!
Ndio maana nikasema ziwepo bags maalum kwa kuhifadhi miili!Mtu anapokufa kwa magonjwa ambayo ni highly infectious kama covid 19 na kuanza Kuharibika hatari huwa ni kubwa zaidi sababu virusi wanasambaa kutafuta favourable environment na hapo ndiyo kwenye hatari kubwa ya maambukizi kutoka kwenye maiti, yaani inakuwa kama biological weapons.
Ku treat maana yake ni kuhifadhi mwili Kwa madawa ili usiharibike.Una treat maiti au unatakiwa ku treat virus?? Kama una weza kuitibu maiti why not binadamu walio hai!!hakuna tiba wala chanjo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umaalum wa plastic bags za maiti hau guarantee hatari ya infection kutoka kwenye mwili unapoharibika na kutegemea na nature ya organ iliyokumbwa na maambukizi, hivyo pamoja na yote utahitaji Ku treat kabla ya uhifadhi kwenye huo mfuko na hapo ndipo hatari Kwa mhudumu inapokuja.Ndio maana nikasema ziwepo bags maalum kwa kuhifadhi miili!