Jamani mlio karibu na huyu mtu mshauri arudi home kule Mbande,huyu critical finisher no.19 mgogo hatoi nafasi ya mtu kwenda India Wala mhimbili.Anayetaka kuzikwa kwao arudi kwao mapemaBunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Mkuu inamaana hatuwezi kutunza mwili hata kwa siku 3?Sasa mbona mtu anakufa halafu anasubirishwa kuzikwa mpaka majibu ya vipimo vya corona yatoke ili ijulikane atazikwa vipi na wapi?Na majibu huchukua mpaka siku 3!Muda huo anahifadhiwaje?Umaalum wa plastic bags za maiti hau guarantee hatari ya infection kutoka kwenye mwili unapoharibika na kutegemea na nature ya organ iliyokumbwa na maambukizi, hivyo pamoja na yote utahitaji Ku treat kabla ya uhifadhi kwenye huo mfuko na hapo ndipo hatari Kwa mhudumu inapokuja.
Miili hiyo inahifadhia kwa tahadhari kubwa sana, na ni hatari Sana kwa wahudumu wa chumba cha maiti.Mkuu inamaana hatuwezi kutunza mwili hata kwa siku 3?Sasa mbona mtu anakufa halafu anasubirishwa kuzikwa mpaka majibu ya vipimo vya corona yatoke ili ijulikane atazikwa vipi na wapi?Na majibu huchukua mpaka siku 3!Muda huo anahifadhiwaje?
Miili inaweza kuhifadhiwa hata mwezi au zaidi bila kuharibika!Wewe hiyo wiki umeitoa wapi?Miili hiyo inahifadhia kwa tahadhari kubwa sana, na ni hatari Sana kwa wahudumu wa chumba cha maiti.
Kwa kawaida maiti huwa inahifadhiwa kwenye jokofu au chumba cha baridi mpaka siku Saba au zaidi kabla ya kuanza kuharibika. Kwa miili inayohisiwa kuwa na covid 19 ni lazima iwe kwenye jokofu maalumu na liwekewe alama za tahadhari
Si mwezi Tu hata mwaka, nilikuwa najaribu kueleza hatua za awali za uhifadhi Kwa njia ya majokofu Kwa miili ambayo haihitaji kemikali Ku treat. Na kemikali zipo za muda mfupi na muda mrefu kulingana na uhitaji.Miili inaweza kuhifadhiwa hata mwezi au zaidi bila kuharibika!Wewe hiyo wiki umeitoa wapi?
Ndio nasema hatuwezi kufanya utaratibu waweze kuhifadhiwa walau siku 3 ili miili izikwe kila mtu anakostahili?Kama hatuwezi basi kinachofanyika ni sahihi ila kama tunaweza basi si sawa!Si mwezi Tu hata mwaka, nilikuwa najaribu kueleza hatua za awali za uhifadhi Kwa njia ya majokofu Kwa miili ambayo haihitaji kemikali Ku treat. Na kemikali zipo za muda mfupi na muda mrefu kulingana na uhitaji.
Kama nilivyoeleza hatua zote za uhifadhi wa infectious deceased ni hatari kueneza maambukizi. SOP ya namna ya Ku deal na miili ya namna hiyo ipo sawa duniani kwa kufuata viwango vya WHO.Ndio nasema hatuwezi kufanya utaratibu waweze kuhifadhiwa walau siku 3 ili miili izikwe kila mtu anakostahili?Kama hatuwezi basi kinachofanyika ni sahihi ila kama tunaweza basi si sawa!
Sasa hawa wabunge mbona wanataka kuleta uspecial wao ni nani hasa?Kwa vifo hivi vya corona na maradhi yanayofanana na hayo, ni hatari sana kuyasafirisha mahala pengine. Heri maiti yatokanayo na maradhi husika yasitiriwe mahala popote. Utamaduni utatuponza. Utasambaza maradhi mahala salama. Ndugu sitiri hasira ni hasara.
Mfano mwili huo ukiupaka sanitizer jee huwezi kuzuia virus kuwadhuru wengine?Una treat maiti au unatakiwa ku treat virus?? Kama una weza kuitibu maiti why not binadamu walio hai!!hakuna tiba wala chanjo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanitizer ni surface decontamination tu na haikai muda mrefu ndiyo maana tunashauriwa kujipaka mara kwa mara.Mfano mwili huo ukiupaka sanitizer jee huwezi kuzuia virus kuwadhuru wengine?
Sielewi na ninataka kujua!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na HUKUMU IMEANZIA MADHABAHUNIchukizo la uharibifu limegusa bungeni akili zimeanza kurejea sasa?
Mkuu mimi nna kichwa kigumu, dhamira ya spika ni kufikisha ujumbe gani? Au hayo ya kuzikana usiku?Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai