Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ule wingi wao unawafanya wanafanya ujinga ila pia nidhamu wengi wao ni kitu ambacho hawana kabisa.Wanakwaza sana km kwao hawachapwii au hakuna watu wazima hapo tuu km kwenye kuvuka usiombe uvuke muda ya kumi kumi na moja
ana wenge tu, mimi na wewe ni two different species.Aseeh pengine Ila ni watu wawili tofaut... Madam
oya mbona una wa snitch ndugu zetu??Ule wingi wao unawafanya wanafanya ujinga ila pia nidhamu wengi wao ni kitu ambacho hawana kabisa.
Unawaza pisi tu, ila ni kweli zitakosekanaje na wanachuo wengi wanaishi huko KGsema phanton la kigamboni tamu, pisi zime jaa daily 😁🤣
Mi nasema uhalisiaoya mbona una wa snitch ndugu zetu??
Uhalisia gani, mtu mwenyewe uko ka nyani 😁🤣Mi nasema uhalisia
Kadai tunafanana miandiko 😂 sasa sijui yeye ndo kaliona hiloana wenge tu, mimi na wewe ni two different species.
ephen_ huwa ana nifananisha na watu baadhi, je hoja yake ni kutaka kusema nina multiple id??.
kama ndio, basi yuko kinyume kabisa
wanakwaza sana sana.,.,.Ule wingi wao unawafanya wanafanya ujinga ila pia nidhamu wengi wao ni kitu ambacho hawana kabisa.
Worry out, sio Mara ya 1. mimi sioni ufanano wowote.Kadai tunafanana miandiko 😂 sasa sijui yeye ndo kaliona hilo
Hawaogopi chochote hata wakifanya mambo ambayo yana utovu wa nidhamu. Miaka hiyo nasoma primary ni heri ukutane na mbwa mkali kuliko kukutana na mwalimu, walimu walikuwa na heshima yao na misimamo yao kwa wanafunzi iliyochangia kujenga nidhamu kwa wanafunzi ila siku hizi mambo ni tofauti kabisa.wanakwaza sana sana.,.,.
Utakuta wakiwa na waalimu wao yaani hakuna hata kuwakarapia
Siku moja mwalimu anajibizana na raia kuona dogo wanakaa chini kuwaona km wanachafuka
Eeh mwalimu yule alimvaa raia nikasema ktk kazi ambayo ethics hakuna siku hz ni ualimu......
Kipindi tupo primary tukienda sehem na mwalimu hata km sio shule respect inatawala sana
Kuna shule moja ya wahindi naona mabus yao hasa mchana wakitoka shule wanafunzi ni watulivu yaani smart Ila Hawa wa bunge kwenye gari utafkr watoto wa mtaa gani sjui...
Kikubwa ushasema mtu, respect that kenge mma weweUhalisia gani, mtu mwenyewe uko ka nyani 😁🤣
Halafu wengi ni kutoka mikoani gari kaiona siku ya kuja mjini huyo akipata sasa sheeda hata jirani asiguse fancy ya nyumba yakeNimesoma hii thread nikabaki kushangaa! Hawa vijana wa siku hizi mbona wana mawazo ya hovyo sana? Yaani mtu akipata ahueni ya maisha anaona wengine ni takataka na hawastahili kuwepo sehemu fulani. Hii nchi ina vijana wa hovyo sana.
Punguza kelele asubui, ewe kubwa la manusu 😂Kikubwa ushasema mtu, respect that kenge mma wewe
Huamini kama watt wanasoma bunge ni viongozi kila nyanja serikalini na wengn wapo utilised nje ya nchi u ataka kusema nn concept ya elimu ni mwanafunzi tu namwalimu hyo ndio definition hujui kama watu wanasoma chini ya miti hujui kama wazungu husomi kama hauna library ndani computer vitabu vya kila aina je afrika ni wangap wana afford hv vitu mm nimemaliza master sikua na hata smat fone je siku gradu nataka niseme hle ni shule kamili uboreshàji ni kweli unahitajika lakin usipeceive concept ety shule iqe na viwanja vya mpr sijui hata sauti za ndeg zisikike sijui blah blah basi watt wangeishi upanga wakawa wanasoma mkataYale mazingira yanafaa hata kuwa shule seriously??..
oto nidhamu hawana kabisa......Hawaogopi chochote hata wakifanya mambo ambayo yana utovu wa nidhamu. Miaka hiyo nasoma primary ni heri ukutane na mbwa mkali kuliko kukutana na mwalimu, walimu walikuwa na heshima yao na misimamo yao kwa wanafunzi iliyochangia kujenga nidhamu kwa wanafunzi ila siku hizi mambo ni tofauti kabisa.
Juzi nimekaa mahali na boss wangu kiumri n mkubwa, akapita mtoto wa kike na uniform miaka kama 11 akasalimia shikamooni, tukaitikia ila boss akaendeleza salam kwa kumuuliza mzima wewe? Yule binti mdogo akajibu "nimekufa"😂.
Ilibidi tuishie kucheka kicheko cha masikitiko.
oto nidhamu hawana kabisa......Hawaogopi chochote hata wakifanya mambo ambayo yana utovu wa nidhamu. Miaka hiyo nasoma primary ni heri ukutane na mbwa mkali kuliko kukutana na mwalimu, walimu walikuwa na heshima yao na misimamo yao kwa wanafunzi iliyochangia kujenga nidhamu kwa wanafunzi ila siku hizi mambo ni tofauti kabisa.
Juzi nimekaa mahali na boss wangu kiumri n mkubwa, akapita mtoto wa kike na uniform miaka kama 11 akasalimia shikamooni, tukaitikia ila boss akaendeleza salam kwa kumuuliza mzima wewe? Yule binti mdogo akajibu "nimekufa"😂.
Ilibidi tuishie kucheka kicheko cha masikitiko.
Mr simao una watoto tyr ? 😂 Sorry for askingHao ndio watoto wa serikalini (Bunge primary) wapendwa wa ndugu LIKUD
Na nyie mnawatazama tu kwani ni schoolbusKwenye mwendokasi
Yes. Mmoja..Wat
oto nidhamu hawana kabisa......
Mr simao una watoto tyr ? 😂 Sorry for asking